Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa wasema hawakubaliani na Uamuzi wa Kamati Kuu(CC)

Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa wasema hawakubaliani na Uamuzi wa Kamati Kuu(CC)

Dr Emmanuel nchimbi asema hajapenda jinsi majina yalivyokatwa bila huruma.... lowasa te siwasikii.....
 
Team Edo hali tete nw
EMMANUEL NCHIMBI amesema hawakubaliani na kukatwa kwa watu waliokubalika kwa wananchi
SOURCE : DOTTO BULENDU SAUT FM
 
Kumbe walimtoa tokea kamati ya maadili daaah sasa usiku wote huu tulikuwa twasubiria nini.... sasa si aseme tu kuwa waliopitishwa ni kina fulani na fulani ieleweke
 
Back
Top Bottom