Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa wasema hawakubaliani na Uamuzi wa Kamati Kuu(CC)

Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa wasema hawakubaliani na Uamuzi wa Kamati Kuu(CC)

Yote maisha! Dunia wala haiishi leo cha maana uhai! Na uhai ni ule ule popote ulipo. Karibuni kwenye ulimwengu wa wazalendo wasio na vyama! Tanzania kwanza!
 
Mama yenu kaamua aende na kambi iliyoonekana imeonewa 2015 ili aonekane "neutral"

Kaitupilia mbali kambi ya Magufuli na Kikwete.

Bila tume huru na katiba mpya bado hakuna uchaguzi bali kupoteza muda na pesa za walipa kodi.
 
Hii vita ya kichini chini itakayoibuka sipati picha
 
Huyu Nchimbi atahakikisha anakuwa Rais ili kulipiza boss wake Lowassa.
 
Back
Top Bottom