Hahahahaha MKUTANO MKUU M/KITI ANAAIBIKA.
ha ha haa na wale waganga walopelekwa hapo dom hawawezi zuia hili janga maana duh...,,,!!!??
Kwan kakatwa nan na nan?
Source?Dr Emmanuel nchimbi asema hajapenda jinsi majina yalivyokatwa bila huruma.... lowasa te siwasikii.....
Tanzania kwanzaYote maisha! Dunia wala haiishi leo cha maana uhai! Na uhai ni ule ule popote ulipo. Karibuni kwenye ulimwengu wa wazalendo wasio na vyama! Tanzania kwanza!
Ajaribu mtuHii vita ya kichini chini itakayoibuka sipati picha