Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,967
- 8,763
Angekuwa Jasusi mbobezi angewekwa kizuizini au kutolewa kwa aibu?Jasusi mbobezi vs MCHARUKO
Angekuwa Jasusi mbobezi angewekwa kizuizini au kutolewa kwa aibu?Jasusi mbobezi vs MCHARUKO
Si ndio maana alijiuzulu mapema. Aliwawahi kabla ya muda.Angekuwa Jasusi mbobezi angewekwa kizuizini au kutolewa kwa aibu?
Anayeshinda anabaki.Si ndio maana alijiuzulu mapema. Aliwawahi kabla ya muda.
Hayo mengine mimi siyajui.Angekuwa Jasusi mbobezi angewekwa kizuizini au kutolewa kwa aibu?
Huwezi kufika ile nafasi ya juu, halafu usiwe Askari.Jasusi mbobezi vs MCHARUKO
Anaweza akaja kuwa Rais kimasihara tuDogo Deo kapata zali la mentali - haamini kilichotokea, sema jamaa kaula, miaka 4, ajiendee zake akastaafu, ale kiinua mgongo, na aombe Mungu watu wasiikomboe nchi maana viinua mgongo vyote hivyo vitafutwa.
Akifanya kosa la kutaka urais kama mama, atajiharibia
Alishawashinda kwa kuwala timing , wakaamua kumshambulia wote. Walimtumia ubabe kumuondoa ila alishawashinda.Anayeshinda anabaki.
Nani kakudanganya?. Kwa hivyo Mpango alikuwa Askari na Deo je? Maana deo aliombewa nafasi na Samiah kwa Magufuli kwenye msiba wa babu yake.Huwezi kufika ile nafasi ya juu, halafu usiwe Askari.
Hakuna raia hapo.Nani kakudanganya?. Kwa hivyo Mpango alikuwa Askari na Deo je? Maana deo aliombewa nafasi na Samiah kwa Magufuli kwenye msiba wa babu yake.
Ukute kuna chama kinakutegemea kuja kuwa kiongozi aisee ! Ccm itatawala sana back to back kama hawa ndiyo wapinzaniHuyu Ndejembi anachojua ni kurusha rusha mikono wakati anaongea.
Toka Dunia iwepo hatujawahi kupata P and VP with zero leadership IQ kama Hawa wa sasa.
Hatukujifunza march 2021 sijui tutajifunza lini?
Anyway hii nchi tushatekwa na JK, imekua nchi ya JK family na baadhi ya marafiki wa familia.
Sifa ya kwanza kuwa kiongozi now ni uwe familia yake ,rafiki wa familia au chawa wa familia.
Nchimbi kafanya nini cha maana?Tukiwa rank ma vp kuanzia enzi za Nkapa
1.Omar
2.Mpango
3.Nchimbi
4.Shein
5.Ghalib
6.Mtajeni
Jasusi mbobezi Chali 😳 ! 😁Jasusi mbobezi vs MCHARUKO
Hakuwa ameapishwa hakuwa na mamlakaNchimbi kafanya nini cha maana?
29/10 watu wengi waliuliwa akafanya nini ?