Expect Quality New Member Joined May 23, 2024 Posts 3 Reaction score 2 Jul 1, 2024 #1 Nchi ya China imeendelea kuwekeza katika huduma za afya, hospitali kubwa zaidi ya Artificial intelligence ambayo inaweza kuhudumia wagonjwa 3000 Kwa siku, ambayo kwa kawaida Madaktari wanaweza kuchukua zaidi ya miaka 2 kufanikisha
Nchi ya China imeendelea kuwekeza katika huduma za afya, hospitali kubwa zaidi ya Artificial intelligence ambayo inaweza kuhudumia wagonjwa 3000 Kwa siku, ambayo kwa kawaida Madaktari wanaweza kuchukua zaidi ya miaka 2 kufanikisha
Mnyatiaji JF-Expert Member Joined Dec 13, 2018 Posts 3,728 Reaction score 4,817 Jul 3, 2024 #2 source mkuu
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,880 Reaction score 8,424 Jul 3, 2024 #3 Mmmh, ebu leta Makala hizi story zako mbona ka za bodaboda.
Expect Quality New Member Joined May 23, 2024 Posts 3 Reaction score 2 Jul 20, 2024 Thread starter #4 AnyWayZ said: Mmmh, ebu leta Makala hizi story zako mbona ka za bodaboda. Click to expand... Hujalazimishwa kuamini, kama unaona kama story za bodaboda, sawaaaa
AnyWayZ said: Mmmh, ebu leta Makala hizi story zako mbona ka za bodaboda. Click to expand... Hujalazimishwa kuamini, kama unaona kama story za bodaboda, sawaaaa
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,880 Reaction score 8,424 Jul 20, 2024 #5 Expect Quality said: Hujalazimishwa kuamini, kama unaona kama story za bodaboda, sawaaaa Click to expand... Si unaona hata uzi umebuma? Uongo.
Expect Quality said: Hujalazimishwa kuamini, kama unaona kama story za bodaboda, sawaaaa Click to expand... Si unaona hata uzi umebuma? Uongo.