Nchini Israel kesi siyo lazima ifike mwisho Jaji anaweza kufanya maamuzi katikati ya kesi ili kuokoa muda, Tanzania tujitahidi tufike huko!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wakati mwingine mwenendo wa kesi na ushahidi vinakupa majawabu mwisho wa kesi utakavyokuwa.

Ndio Israel ili kutopoteza rasilimali muda na fedha za walipakodi wakatoa fursa ya kumaliza kesi pale Jaji na marafiki wa mahakama watakapojiridhisha ushahidi "uliokwisha" tolewa unatosha kujenga MAAMUZI.

Nadhani wanasheria wa Tanzania tujielekeze huko hii dunia inaenda kasi sana akina mama muuza mbege nyakati nyingine wanapoteza muda tu.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Wakati mwingine mwenendo wa kesi na ushahidi vinakupa majawabu mwisho wa kesi utakavyokuwa.

Ndio Israel ili kutopoteza rasilimali muda na fedha za walipakodi wakatoa fursa ya kumaliza kesi pale Jaji na marafiki wa mahakama watakapojiridhisha ushahidi " uliokwisha" tolewa unatosha kujenga MAAMUZI.

Sheria za huku ni za kukomoa watu na siyo kujenga au kurekebisha
 
Wakati mwingine mwenendo wa kesi na ushahidi vinakupa majawabu mwisho wa kesi utakavyokuwa.

Ndio Israel ili kutopoteza rasilimali muda na fedha za walipakodi wakatoa fursa ya kumaliza kesi pale Jaji na marafiki wa mahakama watakapojiridhisha ushahidi " uliokwisha" tolewa unatosha kujenga MAAMUZI.

Nadhani wanasheria wa Tanzania tujielekeze huko hii dunia inaenda kasi sana akina mama muuza mbege nyakati nyingine wanapoteza muda tu.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Kama hii ya Mbowe ingeshafutwa mapema sn
 
hapa kwetu Mahakama zetu zenyewe bado zimeng'ang'ania kutumia lugha ya kiingereza ktk kutoa Haki za wazawa watanzania!!
hayo tu ni maajabu na utumwa wa kifikra.

Unapo zungumzia kutoa Haki kwa uwazi na kwa wakati nyezo kuu ya kufanikisha hayo ni kwa kutumia Lugha ya Kiswahili na sio kujidanganya na kizungu.
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Mungu anakuona kwa rangi ya ukinyonga uliyojivika.
Popote ulipo upigwe we Radi.
 
Back
Top Bottom