Badala ya kutaja kina Kibajaji wewe unakimbilia kwa kina Mbowe. Shahada kwenye siasa ni kiashiria cha nini. Hizo shahada zitasaidia vipi kufanya wakenya waache siasa zao zilizojikita kwenye ukabila?
Sijui Waafrika ni nani aliyetuloga. Yaani mpaka leo kuna waafrika wanadhani kushindwa kwetu kufikia malengo ya kimaendeleo tunayojiwekea ni kwa sababu ya kutokuwa na wanasiasa wasio na shahada?
Hapa wanahitaji shahada tu, hawataki kujua ulipita au la, hio Ni sababu Yale maisha ya chuo kukuu Hua yanafungua mtu skili, anakia Na uwezo wa kuongea vizuri, kufikiria zaidi...Na mengineo
Ability to Make Better Choices
Earning a college degree enables people to to make better choices the rest of their lives. Not only does a college education provide an individual with new knowledge and information, it teaches them how to think critically, how to break apart and reconstruct complex issues, and how to solve problems. Earning a college degree helps people make better choices about everything from mortgage rates to investment plans to launching a new business.
Ability to Communicate More Effectively
A college degree also has a very positive impact on an individual’s written and verbal communication skills. Of all the benefits provided by earning a college degree, this is one of the most valuable. Communication skills will influence just about every aspect of your life. The ability to communicate clearly, concisely, and persuasively with help you land the perfect job, improve your career advancement opportunities and enhance your interpersonal relationships with family members and associates.
Kwa mfano ngalia hili jimbo la Kilifi, jambo la kwanza wabunge wa jimbo la Kilifi MCAs walilofanya Ni kuanza kujadiliana Ku ban minisketi Na wanaume wanaovaa suruali chini ya kiuno
Bill to ban mini-skirts in Kilifi in its final stages : Jambonewspot.com
Kilifi County Ni kubwa Sana, maeneo ya ndani ndani Ni Mmoja wapo ya maeneo ya mashambani maskini zaidi Kenya nzima, badala ya hawa ma MCA kujishughulisha Na majadiliano ya kuinua maisha ya watu walipoteza miaka miwili ya kwanza wakijadiliana Ni gari aina ghani watakalo pewa, Na Kama litakuja Na dereva wake Na mlinzi.......walipokatazwa wakatishia ma govana wao impeachment, ikabidi wapewe wana hotaka kisha wakaongezewa pesa za trip za kuenda nchi za kigeni kutembea... Kama wangekua walienda chuo kikuu Na wako Na shahada huu ushamba wote ungeopotea.... ...kitu Kama gari ngekua Ni jambo dogo Sana kwao..... Wengine wao hadi sasa hawajui hats kupitisha sheria au kuongea kibunge, kila wakisimama kuongea wanakosolewa Na spika kwa kuvunja sheria za bunge