Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana bunge la jamuhuri ya kenya lilipitisha mswada unao mlazimu kila mbunge kuwa na degree angalao moja. Vipi unaonaje na sisi tukaiga hilo
Badala ya kutaja kina Kibajaji wewe unakimbilia kwa kina Mbowe. Shahada kwenye siasa ni kiashiria cha nini. Hizo shahada zitasaidia vipi kufanya wakenya waache siasa zao zilizojikita kwenye ukabila?Hii ikija Tanzania tutapoteza Wabunge sana hasa chadema kuanzia Mbowe, Lisu Tundu mpaka akina Msigwa nje!
Kenya wana uzalendo hasa linapo kuja swala la kitaifa lakin tanzania tuna ubinafsi hasa tunapo jadili mambo ya kitaifa na hilo ndio litakalo sababisha nchi hii isiendelee kamwe.Jana bunge la jamuhuri ya kenya lilipitisha mswada unao mlazimu kila mbunge kuwa na degree angalao moja. Vipi unaonaje na sisi tukaiga hilo
Pamoja na list hiyo ulio itaja Lakin ndani ya nafsi pia unaidadi nyingine ya wabunge watakao guswa na hili ambao ni wengi zaid nadhani kaunafiki kakikutoka utawataja piaHii ikija Tanzania tutapoteza Wabunge sana hasa chadema kuanzia Mbowe, Lisu Tundu mpaka akina Msigwa nje!
Jana bunge la jamuhuri ya kenya lilipitisha mswada unao mlazimu kila mbunge kuwa na degree angalao moja. Vipi unaonaje na sisi tukaiga hilo
Unakurupuka bro, mbowe ana shahada, lisu ndo isiseme na huyo msigwa anajiwe pia, nikukumbushe tz ili ugombee uraisi elimu ni lazima kuanzia shahada, kikatiba kasome usiwe mvivu, mbowe aligombeaje Urais 2005?Hii ikija Tanzania tutapoteza Wabunge sana hasa chadema kuanzia Mbowe, Lisu Tundu mpaka akina Msigwa nje!
labda mbowe ana shahada ya kupigia kura tu.2005 hiyo sheria inayomtaka mgombea awe na shahada ilikua haijaanza kutumika.Halafu unaweza kupata cheti cha form four cha mbowe?nakupa laki fastaUnakurupuka bro, mbowe ana shahada, lisu ndo isiseme na huyo msigwa anajiwe pia, nikukumbushe tz ili ugombee uraisi elimu ni lazima kuanzia shahada, kikatiba kasome usiwe mvivu, mbowe aligombeaje Urais 2005?
acha ujinga , ccm 90% darasa LA sabaHii ikija Tanzania tutapoteza Wabunge sana hasa chadema kuanzia Mbowe, Lisu Tundu mpaka akina Msigwa nje!
Hapa wanahitaji shahada tu, hawataki kujua ulipita au la, hio Ni sababu Yale maisha ya chuo kukuu Hua yanafungua mtu skili, anakia Na uwezo wa kuongea vizuri, kufikiria zaidi...Na mengineoBadala ya kutaja kina Kibajaji wewe unakimbilia kwa kina Mbowe. Shahada kwenye siasa ni kiashiria cha nini. Hizo shahada zitasaidia vipi kufanya wakenya waache siasa zao zilizojikita kwenye ukabila?
Sijui Waafrika ni nani aliyetuloga. Yaani mpaka leo kuna waafrika wanadhani kushindwa kwetu kufikia malengo ya kimaendeleo tunayojiwekea ni kwa sababu ya kutokuwa na wanasiasa wasio na shahada?
Kenya wana uzalendo ???!!!!??? Hakika Nilikuwa silijui hili, mi nilikuwa nadhani hadi sasa Kenya ni nchi tu si taifa, hivyo uzalendo wa kitaifa hawajafikia. Asante kwa taarifa.Kenya wana uzalendo hasa linapo kuja swala la kitaifa lakin tanzania tuna ubinafsi hasa tunapo jadili mambo ya kitaifa na hilo ndio litakalo sababisha nchi hii isiendelee kamwe.
Lissu ndani wewe, au humjui kama ni zao la udsm kwa Mwakyembe?Hii ikija Tanzania tutapoteza Wabunge sana hasa chadema kuanzia Mbowe, Lisu Tundu mpaka akina Msigwa nje!
Lazima Hapa kwetu tubadilishe wanamajungu bungeni kwa kupisha shahada pia!!Jana bunge la jamuhuri ya kenya lilipitisha mswada unao mlazimu kila mbunge kuwa na degree angalao moja. Vipi unaonaje na sisi tukaiga hilo