Nchini Uganda kuna kundi la watu wanaouza viungo vya binadamu

Nchini Uganda kuna kundi la watu wanaouza viungo vya binadamu

Mbona kama sio kweli, imekaa kama zile movies za saw
 
Huu ni upotoshaji kabisa wa habari na usidhani kila mtu huku hafatilii mambo kama wewe. Huyu jamaa anayeganya hivi ni msanii wa nigeria anafanya Makeup artist na hatimaye picha zinaonekana hivyo. Hakuna ukweli kwa hili
 
Halafu tukisema dunia imefika ukingoni kuna watu wanabisha
 
Back
Top Bottom