Ndagu ya sarafu na sufuria

Herbalist Mtaturu

Senior Member
Joined
Aug 17, 2023
Posts
156
Reaction score
237
Tatizo hamfanyii kazi

Andaa sufulia napesa za sarafu kama picha hiyo tumia sufulia kubwa au ndoo kubwa kunavitu vitatu vyakuchanganyia humo

Kwanza weka dawa nyeusi yazindiko iliochanganywa na vizimba vikali fatisha dam jikate kidogo au kama wakike iweyabridi

Weka humo chukua mafuta ya msukule wengine mnaita mafuta ya giza weka humo ndani yake ukimaliza sema hivi

Nataka utajiri naniko tayari kwa lolote rudia maneno hayomara kumi na nne baada yahapo haupaswi kufanya ngono ndani yasiku kumi na nne hatakama utakua tayari umepata

Matokeo kumbuka kunaagano kubwa umeliingia kama unaroho yakitoto usifanye hivi tafadhali haya mambo yanataka ukubwa wa akili na uelewa mpana

Ukimaliza utafunika nakitambaa chekundu na utunze sehem safi baada yasiku nne funua utakachokuta kwa mara yakwanza tumia mpaka kiishe kisha utarudia tena
 
Hizo dhana unazo na unaziuza ?
 
wewe ni herbalist au ni mchawi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…