Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti Mashimba Ndaki amesema;
"...Pamoja na kwamba deni la serikali limekuwa himilivu kwa viwango vyote vya kimataifa, kielelezo cha uwiano wa deni kwa mauzo ya nje hivi sasa ni 13.9% wakati ukomo ni 15%. Hivyo endapo hatutaimarisha mauzo yetu nje, tunaweza kufikia ukomo na hivyo deni linaweza lisiwe himilivu. Kamati inaitaka serikali kuwekeza kwenye sekta na mikakati inayoongeza mauzo ya nje ili kudhibiti deni na kuongeza thamani ya shilingi. Aidha kamati inataka serikali kupunguza ukopaji katika soko la ndani ili kutoa fursa kwa sekta binafsi kupata mikopo."