Ndanda FC jiongezeni ili timu ipate pesa

Ndanda FC jiongezeni ili timu ipate pesa

Mbotela

Senior Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
113
Reaction score
5
Unapolijua tatizo ndipo unapaswa kuandaa mipango ya kulitatua tatizo lako.

Ila nashangaa timu hii inavyoongozwa bila ubunifu na ushirikishwaji wa wananchi na wadau wa soka hapa Mtwara.

Mmejidhalilisha kuomba msaada kwa JK. Na msaada alioahidi wa kuwapatia jezi si msaada fanisi katika maendeleo ya soka ya timu hiyo.

Timu imahitaji pesa za ili mambo yawe sawa.

Nashauri timu itangaze namba za simu ambazo zina huduma za pesa ili watu wanaoguswa watume pesa kwa lengo la kuisaidia klabu. Wadau tupo wengi na tunahitaji Ndanda FC iendelee kuwa bora. Tutaichangia.

Tangazeni redioni na katika Tv
 
Bado tuna mawazo ya kuchangiana wakati timu inaweza kuingiza pesa kihalali. Unaonaje tukawashauri watafute udhamini kwanza?
 
Wanaweza kutafuta wadhamini lakini wadhamini hujitokexa sana katika kuzisapoti zaidi timu kubwa.Na pia ni vizuri tuwe tunatafuta wadhamini sambamba na jitihada binafsi.

Njia niliyopendekeza inaweza kuongeza mapato, binafsi naamini.
 
Back
Top Bottom