tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (#CCM) zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 mkoani Mtwara, Mgombea Urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan katika jimbo la Ndanda Wilaya ya Masasi ametaja vipaumbele vitano alivyoviahidi kwa wananchi wa jimbo hilo ambavyo ni Ujenzi wa baraba, Maji, Elimu jumuishi, umeme pamoja na Kilimo biashara.
Soma pia: Mbunge Cicil Mwambe: Jimbo la Ndanda limetekeleza ilani ya CCM kwa asilimia 85
Soma pia: Mbunge Cicil Mwambe: Jimbo la Ndanda limetekeleza ilani ya CCM kwa asilimia 85