Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (#CCM) zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 mkoani Mtwara, Mgombea Urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan katika jimbo la Ndanda Wilaya ya Masasi ametaja vipaumbele vitano alivyoviahidi kwa wananchi wa jimbo hilo ambavyo ni Ujenzi wa baraba, Maji, Elimu jumuishi, umeme pamoja na Kilimo biashara.