Ndanda secondary-MGOMO WA KIDINI.....

Ndanda secondary-MGOMO WA KIDINI.....

Donkim

Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
18
Reaction score
4
Ni jumatatu nyingine tena kikundi kimoja cha kidini (waislam),wamesababisha kutoweka kwa amani baada ya kuanzisha mgomo kwa lengo la (a)kudai kunyimwa kupatiwa eneo la kujenga msikiti shuleni (b)kukataa uongozi wa wanafunzi kwa kudai kutokuwa na usawa katika uongozi huo(idadi sawa ya waislam na wakristo)
, kwa style hii shule itageuka eneo la kuabudia..
 
Sasa jamani kwani wanafunzi wanachaguliwa kidini au kwa kiwango cha ufaulu wao? Yani wakristo wakifaulu na kuchaguliwa wengi ni udini waislamu wakichaguliwa ni kawaida? Hebu tufanye vitu vyenye tija kwenye maendeleo sio uchochezi tu from nowhere!Aaaaargh
 
Hii shule ilikuwa ya Kanisa, nadhani kuna haja ya serikali kuirudisha kwa kanisa.
 
Wameshavuta bangi ya pale mwena na kushushia na maj safi ya Ndada
 
Ni jumatatu nyingine tena kikundi kimoja cha kidini (waislam),wamesababisha kutoweka kwa amani baada ya kuanzisha mgomo kwa lengo la (a)kudai kunyimwa kupatiwa eneo la kujenga msikiti shuleni (b)kukataa uongozi wa wanafunzi kwa kudai kutokuwa na usawa katika uongozi huo(idadi sawa ya waislam na wakristo)
, kwa style hii shule itageuka eneo la kuabudia..
Aaafu usikute wadai msikiti hao ndo wala kitimoto kwa sana pale karibu na uwanja wa fisi masasi mjini
 
Wanaumwa hao, mbona hawaulizi pale Alharmain secondary Kariakoo kama kuna kanisa mle ndani?
 
Mungu wangu shule langu la zamani jamani.ila ninachojua mbona kuna jengo maalumu limeteuliwa kwa ajili ya waislam kuswali sasa tena eneo la msikiti la nini pia kuna msikiti mkubwa jirani na shule.WAISLAM badiliken din sio kushupalia mambo madogomadogo dini ni kushibisha roho yako na matendo matakatifu.JE KKKT,Walokore,RC,WASAbato,na madhehebu mengine wakitaka eneo la kujenga nyumba za ibada itakuwaje.THIHIRISHA USOMI WAKO KWA KUTAMBUA HIZI NI PUMBA Na huu ni mchele sio unashinikizwa na complication kisa zimeanzia kwenye dini.
 
Haya ni matokeo ya Serikali ya JK inayolea udini nchini
 
Kama kuna eneo la kutosha wapewe tu wajenge huo msikiti..
 
Kama kuna eneo la kutosha wapewe tu wajenge huo msikiti..

Wakati jumuiya nyingine za kidini kwa wanafunzi UKWATA, CASFETA, na ASA walikuwa wakisalia madarasani, TYCS waliokuwa wakisalia chepo (chapel), ni waislamu pekee ambao walikuwa na nyumba yao waliyopewa maalum kwa ajili ya ibaada zao. Nakumbuka hili kwa sababu nimesoma hapo mwanzo sana wa miaka ya 2000. Nyumba hii ilikuwa karibu sana na ukumbi wa Mv Bukoba.

Huu mgomo ni mwendelezo wa kuharibika kwa shule na mazingira ya Ndanda, na ikiwa serikali itawarudishia wakatoliki shule yao basi hawa wataifanya chuo kwani kiuhalisia ni shule chache sana zenye majengo na nafasi bora kabisa za kusomea kama Ndanda, mabweni mazuri Mawenzi na Kibo, Mtandi na Ilulu, umeme wa uhakika na maji yasiyokatika

Vijana hawa waache migomo isiyokuwa na maaana na wafuate elimu kwani endapo watapewa eneo wajenge msikiti, walutheri nao wadai eneo ili wasiende Mwena, mkorosho haramu
 
Wasitake kuharibu hiyo shule,waislamu walipewa eneo la kujenga msikiti karibu na madeco siku nyingi,nakumbuka wakati ule tulikuwa ktk bweni la kibo na mawezi,hata kanisa lipo nje ya eneo la shule linatenganishwa na barabara iendayo viwandani
 
wakristo wote(ukwata,casfeta,asa) wanasalia madarasani, TYCs tu ndio wanajengo lao walilopewa na waliojenga shule. Wakati wao wametengewa eneo maalum bado hawataki? Sijui wanataka ghorofa
 
MPAKA SASA,waislam wote wapo barabarani juelekea MASASI kwa afisa elimu kudai wanachodai kuwa haki yao. Haya ni maandamano yasiyokuwa ya rasmi na kibali
 
Unapoiongelea Ndanda si kila eneo ni la shule, ieleweke kuwa pale kuna eneo lilipo chini ya utawala wa Hospital, Kanisa na shule.
Kwa eneo lilipo Chini ya utawala wa shule si kubwa kiasi cha kuweza ku-provide eneo la kujengea msikiti, hata kanisa lilipo pale lipo chini ya eneo la kanisa, labda kama wataomba wjenge juu ya ule mlima kule nyuma ya yale ma-bweni.

Pili si kazi ya shule kutoa eneo la kujengea nyumba za Ibada. Ni jukumu la wanafunzi waamini kutafuta wapi wanaweza wakajumuika na waamini wenzao tofauti ya hapo inabidi watume maombi kwa uongozi wa shule ili uangalie namna ya kuwasaidia, ikiwepo kuwapatia majengo wanayoweza wakayatumia , ieleweke kuwa si lazima hivyo hawana haki yai kushinikiza.

Tatu ieleweke kuwa Ndanda ilikuwa ni shule ya kanisa, hivyo kama wanakuta kuna kanisa inabidi waelewe tu, na si kuishinikiza serikali kuwajengea msikiti kwani hata kanisa halikujengwa na serikali.

Moja ya matunda mazuri ambayo jamii inayategemea kutoka kwa wale walio washika dini ni busara na uwezo wa kufikiri ili kuyakabili mazingira yanayotuzunguka, kwa wanayoyafanya hawa vijana ni kujidhihirisha kuwa wao si waumini bali mashabiki wa dini.
Pia dini haijawasaidia kitu mpaka sasa kwa kushindwa kuyaelewa mafundisho yake, na badala yake mafundisho na imani vimegeuka sumu ya bongo na nyoyo zao.
 
wakristo wote(ukwata,casfeta,asa) wanasalia madarasani, TYCs tu ndio wanajengo lao walilopewa na waliojenga shule. Wakati wao wametengewa eneo maalum bado hawataki? Sijui wanataka ghorofa

Lilikuwa jirani sana na ukumbi wa sherehe wa mv Bukoba, nyumba hii ilihusisha sehemu ya kuabudia na ofisi ya umoja wao (ofisi hii ilikuwa maarufu kwa kuficha nguru). Nakumbuka hii move ilikuwepo hata enzi za marehemu Mwasi sasa naona imelipuka,
 
Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.
 
Unapoiongelea Ndanda si kila eneo ni la shule, ieleweke kuwa pale kuna eneo lilipo chini ya utawala wa Hospital, Kanisa na shule.
Kwa eneo lilipo Chini ya utawala wa shule si kubwa kiasi cha kuweza ku-provide eneo la kujengea msikiti, hata kanisa lilipo pale lipo chini ya eneo la kanisa, labda kama wataomba wjenge juu ya ule mlima kule nyuma ya yale ma-bweni.

Pili si kazi ya shule kutoa eneo la kujengea nyumba za Ibada. Ni jukumu la wanafunzi waamini kutafuta wapi wanaweza wakajumuika na waamini wenzao tofauti ya hapo inabidi watume maombi kwa uongozi wa shule ili uangalie namna ya kuwasaidia, ikiwepo kuwapatia majengo wanayoweza wakayatumia , ieleweke kuwa si lazima hivyo hawana haki yai kushinikiza.

Tatu ieleweke kuwa Ndanda ilikuwa ni shule ya kanisa, hivyo kama wanakuta kuna kanisa inabidi waelewe tu, na si kuishinikiza serikali kuwajengea msikiti kwani hata kanisa halikujengwa na serikali.

Moja ya matunda mazuri ambayo jamii inayategemea kutoka kwa wale walio washika dini ni busara na uwezo wa kufikiri ili kuyakabili mazingira yanayotuzunguka, kwa wanayoyafanya hawa vijana ni kujidhihirisha kuwa wao si waumini bali mashabiki wa dini.
Pia dini haijawasaidia kitu mpaka sasa kwa kushindwa kuyaelewa mafundisho yake, na badala yake mafundisho na imani vimegeuka sumu ya bonyo na nyoyo zao.

Umeandika vema, eneo la shule si kubwa kivile, kwani ukiacha lile la mlimani na pale nyuma ya uwanja wa soccer kama unaelekea Ndoro, maeneo mengine yaliyobaki ni ya Chuo cha ufundi, kanisa (masista na bruda wa kibenedikitini)

Kama vipi wapewe eneo kule shambani Liputu wakajenge huko
 
Back
Top Bottom