Ndanda vs Yanga ni msiba usio na matanga

Ndanda vs Yanga ni msiba usio na matanga

Mimi ni yanga pure pamoja na team yetu kuwa butu/mbovu ila ukweli tuuseme Simba ya msimu huu ni mbovu kuliko msimu uliopita. Mtazamo wangu tu inawezekana sijui soccer [emoji460]
Za chini ya kapeti Gabachori hatoi miamala...anadai ananunua wachezaji wa gharama
 
Simba unaifahamuje?
Mkuu hatufahamiani siwezi kujua wewe simba unaifahamuje nawe huwezi kujua mimi simba naifahamuje. So siwezi kujibu swali lako pia nilisema ni mtazamo wangu tu sikulazimishi kuamini niliyoyasema.
 
Mimi ni yanga pure pamoja na team yetu kuwa butu/mbovu ila ukweli tuuseme Simba ya msimu huu ni mbovu kuliko msimu uliopita. Mtazamo wangu tu inawezekana sijui soccer [emoji460]

Uko sahihi...Simba haiko vizuri...Hata msimu uliopita Simba haikuwa vizuri kivile...Ila Simba ni wazuri kwa mambo ambayo siwezi kuyaeleza hapa kwa sasa...
 
Back
Top Bottom