Ten teh teh vipi mamluki wenu Bartez aliewapa goal 3 za kingese?
Za chini ya kapeti Gabachori hatoi miamala...anadai ananunua wachezaji wa gharamaMimi ni yanga pure pamoja na team yetu kuwa butu/mbovu ila ukweli tuuseme Simba ya msimu huu ni mbovu kuliko msimu uliopita. Mtazamo wangu tu inawezekana sijui soccer [emoji460]
Haaa haaa haaa kula like mkuuAjibu anakusalimia
Mechi 5Mechi ngapi mkuu?
Mkuu hatufahamiani siwezi kujua wewe simba unaifahamuje nawe huwezi kujua mimi simba naifahamuje. So siwezi kujibu swali lako pia nilisema ni mtazamo wangu tu sikulazimishi kuamini niliyoyasema.Simba unaifahamuje?
Umbwa kweliNaifahahamu kwa Umbumbumbu wao
Mimi ni yanga pure pamoja na team yetu kuwa butu/mbovu ila ukweli tuuseme Simba ya msimu huu ni mbovu kuliko msimu uliopita. Mtazamo wangu tu inawezekana sijui soccer [emoji460]