Ndani ya basi litokalo D'Salaam kwenda Morogoro

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Ndani ya Basi litokalo D'SALAAM kwenda MOROGORO..

Simu ya mdada mmoja ikaita, akapokea na kusema "hello niko njiani kuelekea ARUSHA kwenye msiba, nitakupigia nikifika"

Mara simu ya mkaka ikaita, jamaa akapokea ''Hello niko njiani naenda CHUONI DODOMA kuchukua form ya kujiunga na chuo, unaweza nitumia hela kidogo kwa ajili ya safari"
Simu ya abiria mwingne ikaita "Hellow Baba, naelekea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Nyerere kwa ajili ya interview nitakupigia baadae"...

Ghafla, mzee mmoja aliyekuwa akiwasikiliza kwa umakini, akasimama na kupaza sauti..."

DEREVA SIMAMISHA GARI!!....

NI

SEHEMU GANI HASA GARI HILI LINAKWENDA??".... [emoji12][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85]
 
Hakuna cha ajabu hapo, zote hizo ni njia na zinaweza mfikisha mhusika sehemu atakayo cha msingi awe na mpunga tu na muda,...
Naweza kwenda mwanza kutoka dar but nkapanda gar zinazoelekea Nairobi kisha nikaelekea mwanza kutokea Nairobi...
 
Hujaelewa. Ujumbe uko kwa mzee wa mwisho
 
Hakuna cha ajabu hapo, zote hizo ni njia na zinaweza mfikisha mhusika sehemu atakayo cha msingi awe na mpunga tu na muda,...
Naweza kwenda mwanza kutoka dar but nkapanda gar zinazoelekea Nairobi kisha nikaelekea mwanza kutokea Nairobi...
kweli mkuu, siku izi njia ya kwenda uwanja wa ndege wa mwl. nyerere iko moro
 
Freyzem; Kuna cha ajabu kwenda Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Nyerere hupitii Morogoro ukitokea Dsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…