Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Ndani ya Basi litokalo D'SALAAM kwenda MOROGORO..
Simu ya mdada mmoja ikaita, akapokea na kusema "hello niko njiani kuelekea ARUSHA kwenye msiba, nitakupigia nikifika"
Mara simu ya mkaka ikaita, jamaa akapokea ''Hello niko njiani naenda CHUONI DODOMA kuchukua form ya kujiunga na chuo, unaweza nitumia hela kidogo kwa ajili ya safari"
Simu ya abiria mwingne ikaita "Hellow Baba, naelekea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Nyerere kwa ajili ya interview nitakupigia baadae"...
Ghafla, mzee mmoja aliyekuwa akiwasikiliza kwa umakini, akasimama na kupaza sauti..."
DEREVA SIMAMISHA GARI!!....
NI
SEHEMU GANI HASA GARI HILI LINAKWENDA??".... [emoji12][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85]