Ndani ya daladala moja na Mshana Jr..

colin_morgan

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,443
Reaction score
2,912
habar zenu wakuu , tupoe na mihangaiko ya hapa na pale

Moja kwa moja kwenye mada husika

Tangia nijiunge na jf kumekua na huyu member aitwae mshana jr yaan mada zake nying ni kuhusu yale mambo ya kiswahili yaani mambo ya tunguli , ramli , kutafsiri ndoto nk

Kwa kweli binafsi si mpenzi wa mada zake huyu jamaa ikizingatiwa kua si mambo ya kuyatilia maanani sna

Basi siku ya jana tarehe 26/8 wakati narudi kwenye mihangaiko yangu ndani ya usafiri wa umma aiseeee !!

Sitaki kuamini kama yule jamaa si mshana jr ,kwa jinsi gari nzima yaan ipo kimya jamaa anachambua mambo ya ramli kiunaga ubaga hadi nikapigwa na butwaaa yaani elimu kama hizi watu wapata wapi au wamerithishwa na mababu ?

Jamaa ni libonge hilo , limevalia ki brother man ila vitu anavyochambua unaweza sema katoka kuzimu

Kumbe mshana jr ni bonge vile , kwa jins jamaa alivyokua anachambua mambo ya ramli na confidence hapo hapo nikasema yeess leo nimepanda gari moja na mshana jf


Mshana jr tafadhali sna mkuu hemu njoo utoe uthibitisho huku kua ulikua ni wewe halisi au kama unawanafunzi wako hapa dar city centre pia tujue

Ahsanteni .....
 
asipooangali mngoa kucha atachukua nafasi yake
 
Ambassador Wakuzimu,,,,, lasivyo asingeyafahamu yote hayo.
 
Oqij9 jojjj9ii .j
Umemfananisha Mzee Wa Watu Ndugu Yangu
J9k..j9oi.ik.ooj.ik.

Hahah kweli aisee ila skupata akil hio
e


Ungemchukua video au picha mkuu

Sasa picha iko wap?


Mkuu , kuna mazingira flani inakua ngumu kupiga picha , unaweza ukajizolea vimondo vya maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…