Ndani ya daladala moja na Mshana Jr..

Ndani ya daladala moja na Mshana Jr..

Pima pengine sio kwa Mshana Jr mkuu, Pemba uchawi hakuna ila majini, mshana majini kwake ni mifugo sasa sijui utatokaje.
Haha mbona mnanishonganisha na mshana jamani

Kosa langu lipi au kuleta huu uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
 
habar zenu wakuu , tupoe na mihangaiko ya hapa na pale

Moja kwa moja kwenye mada husika

Tangia nijiunge na jf kumekua na huyu member aitwae mshana jr yaan mada zake nying ni kuhusu yale mambo ya kiswahili yaani mambo ya tunguli , ramli , kutafsiri ndoto nk

Kwa kweli binafsi si mpenzi wa mada zake huyu jamaa ikizingatiwa kua si mambo ya kuyatilia maanani sna

Basi siku ya jana tarehe 26/8 wakati narudi kwenye mihangaiko yangu ndani ya usafiri wa umma aiseeee !!

Sitaki kuamini kama yule jamaa si mshana jr ,kwa jinsi gari nzima yaan ipo kimya jamaa anachambua mambo ya ramli kiunaga ubaga hadi nikapigwa na butwaaa yaani elimu kama hizi watu wapata wapi au wamerithishwa na mababu ?

Jamaa ni libonge hilo , limevalia ki brother man ila vitu anavyochambua unaweza sema katoka kuzimu

Kumbe mshana jr ni bonge vile , kwa jins jamaa alivyokua anachambua mambo ya ramli na confidence hapo hapo nikasema yeess leo nimepanda gari moja na mshana jf

Mshana jr tafadhali sna mkuu hemu njoo utoe uthibitisho huku kua ulikua ni wewe halisi au kama unawanafunzi wako hapa dar city centre pia tujue

Ahsanteni .....
Jana, tarehe 26/8? We jamaa unauhakika hujachukuliwa msukule na MshanaJr?
 
[emoji102] [emoji102] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nimalize kucheka loh...
 
Huyo uliyemwona alikuwa na rangi gani na ana urefu gani? Macho yake yakoje? Sauti yake ikoje? Ukinijibu nitajua umemwona kweli mshana jr. Sijawahi kutana naye ila kuna viashiria naweza hisi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shikamoo Dada
 
habar zenu wakuu , tupoe na mihangaiko ya hapa na pale

Moja kwa moja kwenye mada husika

Tangia nijiunge na jf kumekua na huyu member aitwae mshana jr yaan mada zake nying ni kuhusu yale mambo ya kiswahili yaani mambo ya tunguli , ramli , kutafsiri ndoto nk

Kwa kweli binafsi si mpenzi wa mada zake huyu jamaa ikizingatiwa kua si mambo ya kuyatilia maanani sna

Basi siku ya jana tarehe 26/8 wakati narudi kwenye mihangaiko yangu ndani ya usafiri wa umma aiseeee !!

Sitaki kuamini kama yule jamaa si mshana jr ,kwa jinsi gari nzima yaan ipo kimya jamaa anachambua mambo ya ramli kiunaga ubaga hadi nikapigwa na butwaaa yaani elimu kama hizi watu wapata wapi au wamerithishwa na mababu ?

Jamaa ni libonge hilo , limevalia ki brother man ila vitu anavyochambua unaweza sema katoka kuzimu

Kumbe mshana jr ni bonge vile , kwa jins jamaa alivyokua anachambua mambo ya ramli na confidence hapo hapo nikasema yeess leo nimepanda gari moja na mshana jf

Mshana jr tafadhali sna mkuu hemu njoo utoe uthibitisho huku kua ulikua ni wewe halisi au kama unawanafunzi wako hapa dar city centre pia tujue

Ahsanteni .....
Ufafanuzi
Huyo jamaa si mimi japo pia nilishawahi kufananishwa naye zaidi ya mara moja nje ya Jamiiforums
Mimi sio kibonge nina kilo 120 tu... Wajihi wangu ni cheusi tii...
Sehemu ambazo nishadaiwa kuonekana ni Mbeya, Kigoma Bukoba Mwanza kahama Arusha na Sumbawanga
 
Mshana kuna member humu alisema kuwa una kilinge mtoni mtongani na wateja wako wakubwa ni kina dada wa mjini
 
[emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji144] [emoji144] Jamani sasa mimi niko wangapi? Nilishawahi kumsaidia tu mtu mmoja huko tena ilikuwa home kwa jamaa yangu.. Mara moja tuu
 
Back
Top Bottom