[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza kuwa na dada yako konda anakurupuka tu 'nikate nauli na ya shemeji?'
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Raha kusimama nyuma ya msambwanda, tatizo daladala inawahi kufika kituoni!
Sifungui mm unataka manyunyu yaingieFungua vioo kabisa bidada nakuona hapo!
Ni ndogo mkuu lakini hakuna namna kuweni wapole tu na mm sitaki kabisa kulowaDada hii hewa huoni ilivyo ndogo humu ndani!
Unakuta mtu kaachia ukimuangalia anakukazia macho! Hasa kina mama [emoji15] [emoji57]Hakuna kinacho niuzi kama mishuzi!
Tupo mie wa kwanzaNilifikiri hakunaga watumiaji wa daladala humu. Teh teh teh....
[emoji23] [emoji23] gari lenyewe la mkopo hii hua naitamka sana hiiKweli tupo wachache ila hata wale wanaotumia magari kuanzia tarehe 1 mpaka 10 alafu baadae wanazimikiwa mafuta mwisho wa siku kuanzia tarehe 20 wanamalizia mwezi kwa kupanda daladala si wenzetu pia.
Back to the topic: mara daladala linapishana na gari ndogo bahati mbaya mwenye gari ni mwanamama sasa namna ya kuachiana njia inakuwa shida "amehongwa gari huyo dada siku mbili tu ameingia barabarani, anatuchelewesha" na akiwa mwanamume..."gari lenyewe la mkopo alafu anatuwekea usiku hapa"
Tupo mkuu tumejaaNilifikiri hakunaga watumiaji wa daladala humu. Teh teh teh....
Hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwendokasi ina misambwanda ya kufa mtu,nilitoka kariakoo badala ya kushukia Ubungo nikashukia Kimara.Kitu mwendo kasi ndio wawwza bambia misambwanda
Watu kama hao inabidi umkanyage yeye makusudiJuzi kati nimepanda UDART. Bas kulikuwa mshua mmoja anakanyaga popote pale iwe ni juu ya mtu au juu ya mguu wa mtu, kwake sawa tu. Ikabidi nisimamie mguu mmoja halafu mguu mwingine unashuka kwa machale pale napopata upenyo.
Tupo wachache si unaona replies zilivyo kidoogo.