Ndani ya Daladala!......

Unanikumbusha mbaali sana, enzi flani nikiwa Mgulani j... Jioni wakati wa kurudi, magari ya mbagala yalikuwa ya shida sana, yaani wakati wa kupanda mnagombania na unaweza kuingizwa ndani kwa kubebwa juu juu, mtajikuta midume mitupu
Hujawahi kupitia dirishani?
 
kuna zile za nyt kuanzia saa tanotano.... mara nyingi hua burudani sana hasa wkend!
 
Reactions: Lee
Kuna wale wanaoingia na nguo zilizokatwa mikono(design ya vest) af akisimama akashika chuma anaachia makwapa yake,hua natamani kutapika
Dah! hawa huwa wanakera mno, na miongoni mwao ni makondakta wenyewe anafanya kazi kutwa nzima na nguo iliyokatwa mikono, basi akipita kukusanya pesa kwenye gari iliyojaa ni raha tupu
 
Ndo sehemu nzuri ya kuchukua namba za simu za warembo. Ukiwa na privee hupati fursa hii
 
Daladala kiboko!
Ukute umevaa smart mkanda nje na kiatu umepiga kiwi ukishuka unaweza sema umebadilishiwa viatu miguuni sio vumbi ni hatari !
Joto sasa miaka michache ya nyuma kulikuwa kuna daladala zimaanzia kariakoo to Mlandizi hizo zilikuwa ni kupitia madirishani tu na lazima ngumi zichapwe kugombea siti we fanya mchezo mwenzako kazama dirishani alafu kaingia eti umeweka kimfuko chako kwenye siti kuonyesha ina mtu alafu anakuja anaondoa mzigo anakaa balaa lake asikuambie mtu visu sikumoja vilitolewa kisa siti
Umevaa kibrazamen Tshirt na jeans enzi hizo za kila mmoja anapendeza chini raba nyeupeee unataka gari za kariako -ubungo via Tandale uzuri ukifika raba kama umetoka shambani hahaaa.
 
Upo na bi mkubwa kwenye daladala alafu mada ni za nguvu za kiume na kila mtu anachangia yani utaomba kituo kishushwe
 
Raha kusimama nyuma ya msambwanda, tatizo daladala inawahi kufika kituoni!
nakumbuka kipindi nimepiga iyo kazi
hako kamchezo siku ya siku
mshikaji kabugi kwa mjeshi wa jkt
wokovu kacheza na msambwanda
hadi kamchafua kufika jkt ya kwanz
a kushuka si kashuka na jamaa sijui kama atakuja kusahau kilichompata#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…