Ndani ya Daladala!......

Sijui kwa nn siku za j.pili asbh kuna watu wakipanda daladala wanasinzia haoo hadi udendaa!!
 
unawezakuta mtu anakukanyaga unamwambia ile kiustaarabu bro unanikanyaga anakuambia, ukitaka raha panda tax....wtf, yani unanikanyaga nivumilie tu maumivu kisa ni usafiri wa public
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…