Ndani ya Daladala!......

Lakini wadada wengine kwapa zao hazina kero kabisa, Wachache tu ndo hawajijari ktk usafi lakini pia kuna ugonjwa wa kwapa hata ukijisafisha haliachi kunuka, Kwa watu wa Kagera magonjwa ya namna hiyo huitwa "Ndwala nkuru".
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wale wanaoingia na nguo zilizokatwa mikono(design ya vest) af akisimama akashika chuma anaachia makwapa yake,hua natamani kutapika
Aiseeh hiyo ilishawahi kunikuta, nilipata shida sana aiseeh kwapa limeweka rangi ya brown kwa uchafu sijui hayaliosha kwa muda gani, alooh sitakaa nisahau hii kitu aiseeh nilifika naumwa kichwa kwa harufu ile mbaya zaidi sikuwa na pakusegezea kichwa. Kuna watu wa ajabu sana.
 
Aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…