Ndani ya Daladala!......

Ndani ya Daladala!......

Lakini wadada wengine kwapa zao hazina kero kabisa, Wachache tu ndo hawajijari ktk usafi lakini pia kuna ugonjwa wa kwapa hata ukijisafisha haliachi kunuka, Kwa watu wa Kagera magonjwa ya namna hiyo huitwa "Ndwala nkuru".
 
Hahahaha au wakuambie kama ungekua na haraka ungekwenda tangu jana unakoenda daladala zina vituko sana nakumbuka siku hiyo alipanda mlevi, sasa tulikua tunaelekea home hapo bado tukiwa mbali sana kufika home, vituo kama vinne mbele walokua wanaingia wadada tu na ndani ya daladala alikua yeye dereva na konda ndio wanaume tulipofika kituo cha mbele tena akaingia msada tena yule mlevinakapaza saut dereva hii gar ni ya wanawake tu?? Hakuna aliemjibu tulipofika stand akaingia mkaka kwa zile pombe akaropoka tena hee dereva nishushe hili gar la wanawake mnanipeleka wapi, yan mwanaume peke yangu tu humu ndan dereva akamjib kwa hiyo me pia mwanamke akasema gari zima wawake tunaenda wapi nilicheka sana that day
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wale wanaoingia na nguo zilizokatwa mikono(design ya vest) af akisimama akashika chuma anaachia makwapa yake,hua natamani kutapika
Aiseeh hiyo ilishawahi kunikuta, nilipata shida sana aiseeh kwapa limeweka rangi ya brown kwa uchafu sijui hayaliosha kwa muda gani, alooh sitakaa nisahau hii kitu aiseeh nilifika naumwa kichwa kwa harufu ile mbaya zaidi sikuwa na pakusegezea kichwa. Kuna watu wa ajabu sana.
 
Kuna siku nilimuwekea mdada mzigo wa poombu begani I makusudi kabisa Mimi nimesimama ye kakaa nilikua namuona tuu pumzi zinavyokata, anahema juu juu akashyka mtu akasogea nilivyokaa nikamwambia polee tulikuwa tumebanana sana, akaishia kucheka tukaendelea na story nyingine
Aisee!
 
Back
Top Bottom