Ndani ya Daladala!......

Afu makonda wana boa unakuta umekaa na mdada siti moja tu ata hamjuani hujui anaenda wapi utackia konda et nikate ya wili.. Ila ukikaa na mwanaume mwenzio akuulizi ivo
 
Yani makwapa ni habari ingine. Unakuta ni asubuhi mtu kwapa linatoa harufu kama hajaoga siku 3. Nawazaga watu wanaolala nao wanavumiliaje
 
Kero kubwa sana hasa usiombe ukasimama na wadada wenye misambwanda mikubwa watakubana mpaka ukome daladala kero sana harafu hawajuagi kujikaza daladala likipiga breki anakulalia mzima mzima utakoma mwenyewe.
 
aisee sikuwahi kufikiria hivyo. Kuanzia leo sita-mind mkifunga vioo!
Inapendeza. Mara nyingi ili nisikutane na kero ya kuambiwa fungua dirisha huwa nakaa siti ambayo vioo vinakutana hivyo zile fungua funga hamna
 
Panda magari ya temeke, mtanange uanze wa konda na mwanamke wa temeke, utafurahi sana.

Matusi yote mjini utayasikia. Jana tu nilikuwa naelekea huko, sasa wakapanda wanawake watatu.
Konda akawaambia wasogee nyumaa, weeeee... Hayo majibu si ya Nchi hii.

Dereva akaingilia ugomvi bhana, aliambia akae atulie ayachome mapu.mbu yake hapo, mara ndio maana hata nguvu madereva hamna , pumb.u zishakwishaaa, mkija nyumban kitandani hamuwezi ... Mmoja akadakia akasema ndo mana kuchepuka siachii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nguvu hamna, kwanza kibamia, na pesa yenyewe matatizo matupuuu.

Acha wenye uwezo wanisuguee, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Uzuri wa daladala za huku, hata abiria nao wanachekeleaa, yani fulu uswazi.

Niliacha mtanange unaendelea niliposhuka kwenye kituo changu.


Tekeme, mbagala ndo uswazi haswaa, cheza uchi bado zipoooo

Nataman nirudi tena
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mi nshazoea sasa hiv hayo maisha kwenye daladala za Temeke mbagala
 
Wasio na nauli huwa wakorofi sana asubuhi. Anaanzisha ugomvi hauna kichwa wala miguu mwisho unamsikia 'NA NAULI YAKO SIKUPI'!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani huwa nacheka sana nikikutana na abiria wa dizain hiyo, sijui huwa wanawaza nini
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Hapo dereva sharti awe mpole ghafla. Sio kwa maneno hayo ya wamama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…