Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Minywele imefanyaje tena?Minywele yako wewe shida utupe sisi...majanga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Minywele imefanyaje tena?Minywele yako wewe shida utupe sisi...majanga!
Yani makwapa ni habari ingine. Unakuta ni asubuhi mtu kwapa linatoa harufu kama hajaoga siku 3. Nawazaga watu wanaolala nao wanavumiliajeAiseeh hiyo ilishawahi kunikuta, nilipata shida sana aiseeh kwapa limeweka rangi ya brown kwa uchafu sijui hayaliosha kwa muda gani, alooh sitakaa nisahau hii kitu aiseeh nilifika naumwa kichwa kwa harufu ile mbaya zaidi sikuwa na pakusegezea kichwa. Kuna watu wa ajabu sana.
si mnaogopa upepo utavuruga style yako ndio maana mnafunga madirisha.Minywele imefanyaje tena?
Eeeh. Kuna muda nahisi kibaka anaweza akanivua wig nikabaki na vinywele vyangu vibaya. Au kuibiwa simu.si mnaogopa upepo utavuruga style yako ndio maana mnafunga madirisha.
Yaani wewe unaona hio ni kero wakati wengine tunaona safari inakuwa fupi!Kero kubwa sana hasa usiombe ukasimama na wadada wenye misambwanda mikubwa watakubana mpaka ukome daladala kero sana harafu hawajuagi kujikaza daladala likipiga breki anakulalia mzima mzima utakoma mwenyewe.
aisee sikuwahi kufikiria hivyo. Kuanzia leo sita-mind mkifunga vioo!Eeeh. Kuna muda nahisi kibaka anaweza akanivua wig nikabaki na vinywele vyangu vibaya. Au kuibiwa simu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani wewe unaona hio ni kero wakati wengine tunaona safari inakuwa fupi!
Inapendeza. Mara nyingi ili nisikutane na kero ya kuambiwa fungua dirisha huwa nakaa siti ambayo vioo vinakutana hivyo zile fungua funga hamnaaisee sikuwahi kufikiria hivyo. Kuanzia leo sita-mind mkifunga vioo!
Hahahahaha mi sipendi kishenzi.Yaani wewe unaona hio ni kero wakati wengine tunaona safari inakuwa fupi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mi nshazoea sasa hiv hayo maisha kwenye daladala za Temeke mbagalaPanda magari ya temeke, mtanange uanze wa konda na mwanamke wa temeke, utafurahi sana.
Matusi yote mjini utayasikia. Jana tu nilikuwa naelekea huko, sasa wakapanda wanawake watatu.
Konda akawaambia wasogee nyumaa, weeeee... Hayo majibu si ya Nchi hii.
Dereva akaingilia ugomvi bhana, aliambia akae atulie ayachome mapu.mbu yake hapo, mara ndio maana hata nguvu madereva hamna , pumb.u zishakwishaaa, mkija nyumban kitandani hamuwezi ... Mmoja akadakia akasema ndo mana kuchepuka siachii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nguvu hamna, kwanza kibamia, na pesa yenyewe matatizo matupuuu.
Acha wenye uwezo wanisuguee, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Uzuri wa daladala za huku, hata abiria nao wanachekeleaa, yani fulu uswazi.
Niliacha mtanange unaendelea niliposhuka kwenye kituo changu.
Tekeme, mbagala ndo uswazi haswaa, cheza uchi bado zipoooo
Nataman nirudi tena
RRONDO unanichekesha na hoja zako za misambwanda leoYaani wewe unaona hio ni kero wakati wengine tunaona safari inakuwa fupi!
Yaani wewe unaona hio ni kero wakati wengine tunaona safari inakuwa fupi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasio na nauli huwa wakorofi sana asubuhi. Anaanzisha ugomvi hauna kichwa wala miguu mwisho unamsikia 'NA NAULI YAKO SIKUPI'!!!!
HatariiiiUnasimama na mguu mmoja hahahhahahhahahha
Sana mkuukumbe huwa mnavumilia mengi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Hapo dereva sharti awe mpole ghafla. Sio kwa maneno hayo ya wamamaPanda magari ya temeke, mtanange uanze wa konda na mwanamke wa temeke, utafurahi sana.
Matusi yote mjini utayasikia. Jana tu nilikuwa naelekea huko, sasa wakapanda wanawake watatu.
Konda akawaambia wasogee nyumaa, weeeee... Hayo majibu si ya Nchi hii.
Dereva akaingilia ugomvi bhana, aliambia akae atulie ayachome mapu.mbu yake hapo, mara ndio maana hata nguvu madereva hamna , pumb.u zishakwishaaa, mkija nyumban kitandani hamuwezi ... Mmoja akadakia akasema ndo mana kuchepuka siachii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nguvu hamna, kwanza kibamia, na pesa yenyewe matatizo matupuuu.
Acha wenye uwezo wanisuguee, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Uzuri wa daladala za huku, hata abiria nao wanachekeleaa, yani fulu uswazi.
Niliacha mtanange unaendelea niliposhuka kwenye kituo changu.
Tekeme, mbagala ndo uswazi haswaa, cheza uchi bado zipoooo
Nataman nirudi tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha kwa nn kumnyima mtu hela yake bana me akisahau kunidai sometimes natulia tu mana msema mkweli mpenzi wa Mungu