Ndani ya Daladala!......

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umeniudhi sana, kwanini hukwenda mpaka mwisho wa daladala?
Matokeo yake umetupa story nusu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umeniudhi sana, kwanini hukwenda mpaka mwisho wa daladala?
Matokeo yake umetupa story nusu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
shilawadu[emoji125] [emoji125]
 
Dah..mie nikisikiaga baridi...natafuta daladala lililojaa sana na lenye njia yenye foleni kubwa....halafu najisikia poa sana 😀😀😀😀😀
😀😡😡 Labda liwe siyo lile la kutoka kivukoni hadi gongolamboto, maana sijawahi ona usafiri wa karaha kama ule;
 
Reactions: Lee

hahaaaa mkuu ukitaka kuyasikia matusi mapya..na yaliyo shindikana panda Gari za kwenda kusini kilwa huko ...kuna watu waswahili mnooo"" mbaya zaidi vinywa vyao vinatoa maneno machafu kama choo cha kilabuni
 
Kero za daladala nisizozipenda

Jiran kuchungulia simu kila ninapoiwasha kusoma sms na kuperuz mitandaon

Kuegamiwa safari nzima daah

Wenye makwapa,mmekaa siti moja ila sasa mkono sijui anaunyanyuaje ukikaa kiboya unashtukia nguo bega moja limeloa jasho la kwapa

Mtu anaingia na mzigo hajakuomba umbebe anakubwagia tu

Konda kuchukua nauli kisha chenji anakwambia baadae,hio baadae ukidai anabisha haujampa pesa husika basi mwanzo wa malumbano

Unaingia ndan ya daladala unakuta kuna siti inatosha watu wawili ila aliyekaa kajitanua ukikaa hautosh ukimwambia ananuna na kusema asogee wapi utadhan gari lao hilo
 
Hapo kwenye kuchungulia simu. Huwa naweka mwanga wa mwisho kabisa. Sasa nikiona mtu sielewi huwa najiachia zangu kuchat humu. Siku nimekaa na mtu nikaona anatumia fb nikasema hawez kuwa anaijua JF wacha nijimwaye. Kushtuka si namkuta na yeye yuko JF. Nilitahayari sasa sijui aliona ID yangu akanikaushia.
 
Kuna mkaka nilimuona kwenye daladala anaperuzi JF full kujishtukia nikamwangalia sura na kumpotezea sijui kwann JF haimpi mtu uhuru wa kuchat hadharan,mie hata haus gel asiyemiliki simu simuamin kama hayupo humu,najificha tu[emoji23][emoji23]
 
Sasa ndo mimi na huyo kijana. Yani tulikua tunashtukiana baada ya yeye kujua nimejua amenijua niko JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…