Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Panda magari ya temeke, mtanange uanze wa konda na mwanamke wa temeke, utafurahi sana.
Matusi yote mjini utayasikia. Jana tu nilikuwa naelekea huko, sasa wakapanda wanawake watatu.
Konda akawaambia wasogee nyumaa, weeeee... Hayo majibu si ya Nchi hii.
Dereva akaingilia ugomvi bhana, aliambia akae atulie ayachome mapu.mbu yake hapo, mara ndio maana hata nguvu madereva hamna , pumb.u zishakwishaaa, mkija nyumban kitandani hamuwezi ... Mmoja akadakia akasema ndo mana kuchepuka siachii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nguvu hamna, kwanza kibamia, na pesa yenyewe matatizo matupuuu.
Acha wenye uwezo wanisuguee, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Uzuri wa daladala za huku, hata abiria nao wanachekeleaa, yani fulu uswazi.
Niliacha mtanange unaendelea niliposhuka kwenye kituo changu.
Tekeme, mbagala ndo uswazi haswaa, cheza uchi bado zipoooo
Nataman nirudi tena
Umeniudhi sana, kwanini hukwenda mpaka mwisho wa daladala?
Matokeo yake umetupa story nusu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]