Frank Mazagazaga
Member
- Sep 11, 2018
- 44
- 58
Kwa mfugaji mmoja mdogo, kifaa kimoja kilimuokoa kati ya hasara nakuleta matumaini.
Andiko hili linahusu kitu ambacho wafugaji wengi hukipuuza mwanzoni — udhibiti sahihi wa joto na unyevunyevu. Kitu kinachoonekana cha kawaida, lakini madhara yake ni makubwa sana.
Kuna mfugaji mmoja, alikuwa ameweka mayai 120 ndani ya incubator aliyojitengeneza mwenyewe. Alikuwa amewekeza muda, pesa, na matumaini. Kila yai lilikuwa ndoto ya kifaranga mpya, ongezeko la mfugo, na chanzo cha kipato. Kwa macho ya kawaida, kila kitu kilionekana sawa. Taa ya joto Watts 40 zile taa za zamani zenye mwanga wa jua, ilikuwa inawaka. Incubator ilikuwa imefungwa vizuri.
Lakini kulikuwa na tatizo. Tatizo ambalo halikuonekana kwa macho.
Joto lilikuwa linapanda zaidi ya kiwango kinachotakiwa (37.4 - 38.0) bila yeye kujua. Unyevunyevu ulikuwa ukishuka taratibu. Mabadiliko madogo, lakini hatari kubwa.
Kwa mfugaji asiye na kifaa sahihi cha kupima na kudhibiti joto na unyevu, hali hii iliendelea kwa siku kadhaa mfululizo. Matokeo yake yakawa mabaya: mayai kutototolewa kabia, lakini hata kama yangelikuwepo yaliyobahatika kutotolewa, matoleo yake vifaranga dhaifu, au vifo kabisa baada ya Muda mfupi, Vifaranga kushindwa kutembea. Wengi wameshapitia hii changamoto na wengine hata kukata tamaa.
Lakini baada ya jaribio la pili safari hii ilikuwa tofauti.
Ndani ya incubator kulikuwa na kifaa kimoja kidogo: XK-W1099 Temperature & Humidity Controller.
Kifaa hiki Hakikuwa kikubwa. Lakini kilikuwa kinasimamia joto na Unyevu kila sekunde.
Kilifanya kile ambacho binadamu hasingeweza kufanya. Kilipima joto halisi. Kilipima unyevunyevu na joto halisi. Na kilipoona joto au unyevu unazidi kilichukua hatua.
Kifaa kiliwasha Taa joto na kuzizima joto linapopungua au kufikia kiwango sahihi. Kifaa kikaruhusu humidifier izalishe unyevu pale unapohitajika na kuzuia pale usipohitajika. Feni ikarekebisha mzunguko wa hewa joto ndani ya incubator.
Kwa mfugaji, Sasa alikuwa anaona kinachoendelea ndani ya incubator yake, kwenye display ndogo ya kifaa hicho inayoonyesha kiasi cha joto na Unyevu ndani ya incubator. Lakini kwa viini tete ndani ya mayai, ilikuwa ni uamuzi wa uhai au kifo.
Siku zikasonga mbele uku Mayai yakiendelea kugeuza mara 3 - 4 Kwa siku. Siku ya 21 ikafika.
Kwanza sauti ndogo ndogo ikasikika—tik… tik…
Kisha ufa mdogo kwenye ganda. Halafu vifaranga wakaanza kutoka, mmoja baada ya mwingine.
Zaidi ya asilimia 85 ya mayai yalitotolewa kwa mafanikio.
Hakukuwa na muujiza. Hakukuwa na bahati. Kulikuwa na udhibiti sahihi wa joto na Unyevu.
XK-W1099 haikutotolesha mayai yenyewe. Lakini ilihakikisha mazingira ya joto na Unyevu ni sahihi kila saa, kila dakika, kila sekunde. Kifaa kilikuwa ni mlinzi wa incubator, na bima ya uwekezaji wa mfugaji.
Wengi hupoteza mayai kwa sababu hawakujua kinachoendelea ndani ya incubator. Ni Kama watu wasioona hatari ikija.
Maarifa + kifaa sahihi = uamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
Katika ufugaji wa kisasa, XK-W1099 ni chaguo Bora Kwa wafugaji wanaoanza na wanaokuwa.
Ni msingi.
Kwa sababu wakati joto na unyevunyevu vinapodhibitiwa ipasavyo, hasara hubaki historia, na mafanikio huanza kutengenezwa yakitoa thamani ya Muda na pesa alizowekeza mfugaji.
Kifaa kimoja. Udhibiti sahihi wa joto na Unyevu Matokeo makubwa. 0657923089