Ndani ya IT muda huu kwenda Mbeya

Yan katika safari yote hyo umeona sindiria tu mkuu,tupe na mengine ya njiani.vp ujakutana na nyanya na vitunguu vya njiani mbovu maana wale ni wataalamu wa kubambikiza nyanya na vitunguu.
 
Ukifika Ilula mwambie asimamishe chombo, uwachukulie nyanya na vitunguu.., [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yan katika safari yote hyo umeona sindiria tu mkuu,tupe na mengine ya njiani.vp ujakutana na nyanya na vitunguu vya njiani mbovu maana wale ni wataalamu wa kubambikiza nyanya na vitunguu.
Vingine ni vya siri mkuu
 
Hivi kakala club bado inabamba?
 
Hivi kakala club bado inabamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…