WAIKORU
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 1,586
- 2,454
Asante mkuu....pamoja sana...wala siongezi neno hapoKwa uzoefu wangu akifungasha vizuri nyuma sura haileti mgogoro!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu....pamoja sana...wala siongezi neno hapoKwa uzoefu wangu akifungasha vizuri nyuma sura haileti mgogoro!
Pamoja na kukupa like mkuu....sikubalian nawe kuwa reception inamata sana.....kwangu Mimi inye kwanza mengine baadaemkuu receiption inamata sana mkuu!
Hiyo ya 4Kama ilivo tofauti za kimitazamo na kutoelewana, humu pia hali hizo hujitokeza, kwa kuwa watu ni wale wale na masuala yanayotutofautisa ni yale yale!
Zijue baadhi ya ukinzani ama tofauti ama migogoro ya kimitazamo na misimamo ndani ya JF, na ukutanapo na mada za aina hii, uwe na akili ya ziada katika kuchangia, hizi hapa ni baadhi ya timu zenye kuhasimiana humu jamvini:
Zipo nyingi sana hizi, la muhimu uwe unajitambua wakati unachangia mada zenye mlengo wa aina hizo! Jazilizia unazozijua!
- Wanaume wa DSM v Wa mikoani!
- UKAWA v Timu LUMUMBA, wakati mwingine hawa huitwa BK7!
- Timu KIBA v Timu MOND!
- TimuBWAWA v TimuVIBAMIA!
- Wanawake v TimuVIBAMIA!
- Wanaume v TimuBWAWA
- Other Univ. Alumni v UDSM Alumni
- Wanaume v Wanawake single 30+
- Wadharau walimu v Watetezi wa walimu!
- Wafuasi wa "U- David Cameron" v Wapinga "U-David Cameron"
- Wanaume v Single Mamas!
- TimuWAPENDA MIZIGO v Flat screen!
Hiyo nimeikubali bitoz wakongwe wamesepaBattle koboko hii hapa haitaisha wala kupitwa na wakati
Underground vs Wakongwe wa JF
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
umeiona timu yako lkn?
Hehehehe ugomvi wetu ni ngumu sana, hata mapatano yake nayo sio rahisiMimi na Wewe pia sijui lini tutapatana