Massanda OMtima Massanda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 1,056
- 562
Kama katiba itatokea kufanyiwa marekebisho, nashauri raisi aondolewe na kura na sio kwa ukomo wa mihulai. Hii itamuwezesha raisi aliyepo madarakani kukamilisha dhima yake au kama ameshindwa, kumuondoa madarakani. Hali hii inaweza kumfanya kiongozi anayefaa kuendelea kuiongoza nchi na yule ambaye hafai kuishia atakakoishia. Kura iamue na sio mihula!
Tuige mfano wa CHADEMA, Urusi, Ujerumani, Uchina, n.k
Upo kwenye kipengele gani cha Katiba? Nieleweshe tafadhali!Huo utaratibu tayari upo , labda tu kwakua huelewi katiba, na watu kama nyie mpo wengi sana ambao hamuelewi lakini mnajifanya kuelewa sana na kuishia kupotosha wengine.
Je unafuatwaa?Huo utaratibu tayari upo , labda tu kwakua huelewi katiba, na watu kama nyie mpo wengi sana ambao hamuelewi lakini mnajifanya kuelewa sana na kuishia kupotosha wengine.
Hujamwelewa, anamaanisha kama Rais anakubalika aongoze hata mihula kumi....sio ukomo wa muhula miwili kwa katiba ya sasaHuo utaratibu tayari upo , labda tu kwakua huelewi katiba, na watu kama nyie mpo wengi sana ambao hamuelewi lakini mnajifanya kuelewa sana na kuishia kupotosha wengine.
aendelee kutawala ili aendelee kukuteua,uko sawa.Kama katiba itatokea kufanyiwa marekebisho, nashauri raisi aondolewe na kura na sio kwa ukomo wa mihulai. Hii itamuwezesha raisi aliyepo madarakani kukamilisha dhima yake au kama ameshindwa, kumuondoa madarakani. Hali hii inaweza kumfanya kiongozi anayefaa kuendelea kuiongoza nchi na yule ambaye hafai kuishia atakakoishia. Kura iamue na sio mihula!
Tuige mfano wa CHADEMA, Urusi, Ujerumani, Uchina, n.k
Sihitaji kuteuliwa kwani nilishajiteua mwenyewe!aendelee kutawala ili aendelee kukuteua,uko sawa.
Na waliomzunguka wata pambana kulinda nafasi zaoUbovu ni kwamba rais aliyeko madarakani iwapo anahisi kwamba kura zitamkataa atashirikiana na chama chake kufanya hila ya kuchakachua hizo kura ili aendelee kuwepo.
Aliyepo sasa hivi anafanya yote ayawezayo kufanya yeye na chama chake waabudiwe kama Mungu!
kama anavyofanya huyu massanda.Na waliomzunguka wata pambana kulinda nafasi zao
aliyeasisi huu mfumo alikaa ikulu miaka zaidi ya 20 na alijua kuwa rais anaweza kubaki ikulu hata kama raia hawamtaki ndiyo maana alikuja na mfumo wa miaka kumi ni muda unaotosha kutekeleza malengo na kumchosha kiongozi na kubaki ikulu kuwalinda wateule tu.Hujamwelewa, anamaanisha kama Rais anakubalika aongoze hata mihula kumi....sio ukomo wa muhula miwili kwa katiba ya sasa
Bado mpo tu watu mnaotaka kuondoa ukomo wa uraisi kwa mtindo wa mihula?Kama katiba itatokea kufanyiwa marekebisho, nashauri raisi aondolewe na kura na sio kwa ukomo wa mihulai. Hii itamuwezesha raisi aliyepo madarakani kukamilisha dhima yake au kama ameshindwa, kumuondoa madarakani. Hali hii inaweza kumfanya kiongozi anayefaa kuendelea kuiongoza nchi na yule ambaye hafai kuishia atakakoishia. Kura iamue na sio mihula!
Tuige mfano wa CHADEMA, Urusi, Ujerumani, Uchina, n.k
Na bado naamini zinatoa nafasi kuzibadilisha ili mradi utashi upo!Bado mpo tu watu mnaotaka kuondoa ukomo wa uraisi kwa mtindo wa mihula?
Acheni tabia za kichawi hizo.
Wazee walioweka ukomo wa miaka 10 waliweka kwa sababu za msingi na bado hizo sababu zingalipo na uhalali au uhalisia wake.
Je, yale mataifa niliyoyataja, pamoja na CHADEMA, mihula miwili haitoshi kutekeleza malengo yao? Ikumbukwe kwamba wakati mwingine ni nadra kumpata kiongozi mwenye uzalendo wa dhati wa kupigania maendeleo ya nchi. Mnapokuwa mmefanikiwa kumpata mtu wa namna hiyo, kura ziamue na sio mihula!aliyeasisi huu mfumo alikaa ikulu miaka zaidi ya 20 na alijua kuwa rais anaweza kubaki ikulu hata kama raia hawamtaki ndiyo maana alikuja na mfumo wa miaka kumi ni muda unaotosha kutekeleza malengo na kumchosha kiongozi na kubaki ikulu kuwalinda wateule tu.
Huoni kwamba kiongozi mbovu anaweza kutengeneza mazingira ya kupata kura kwa hila ingawa kura hizo hazi akisi hali halisi ya utendaji wake?Je, yale mataifa niliyoyataja, pamoja na CHADEMA, mihula miwili haitoshi kutekeleza malengo yao? Ikumbukwe kwamba wakati mwingine ni nadra kumpata kiongozi mwenye uzalendo wa dhati wa kupigania maendeleo ya nchi. Mnapokuwa mmefanikiwa kumpata mtu wa namna hiyo, kura ziamue na sio mihula!
Nadhani mmoja ya kazi za Tume ya Uchaguzi na vyama vya siasa ni kuwapa wananchi elimu ya upigaji kura. Ni bahati mbaya kwamba vyama vya siasa vinajikita kwenye kulumbana badala ya kuwaonesha wananchi / wapiga kura ni kwa nini wao wanafikiri wakiwa madarakani watakidhi matarajio ya wananchi ili kwayo wananchi waamue ni nani wampe kura.Huoni kwamba kiongozi mbovu anaweza kutengeneza mazingira ya kupata kura kwa hila ingawa kura hizo hazi akisi hali halisi ya utendaji wake?
Ukizingatia na elimu duni na uelewa mdogo wa wapiga kura wengi?
Mfano wako wa CHADEMA ni umejifunga hoja yako. Mbowe akianza vizuri lakini katiba yao ilipo ruhusu kuwa na tabia ya Mugabe na Museveni ndipo Mbowe akapata ujasiri wa kubadili gia angani sababu anajua atatumia ujanja na mabavu au mbinu chafu kubaki madarakani kwa vile katiba imempa mwanya huo.
Mbowe asingekuwa mwenyekiti 2015 nakuhakikishia Lowassa asingeruhusiwa kuiwakilusha CHADEMA uchaguzi mkuu wa 2015.