Ndani ya katiba mpya, Rais aondolewe kwa kura na sio kwa mihula miwili

Kinadharia upo sahihi uyasemayo ila kiuhalisia ni tofauti sana.

Elimu ya upigaji kura ya miezi isiyozidi 6 au tuseme mwaka 1 haiwezi kuwa mbadala wa elimu ya sekondari na ya elimu ya juu.

Elimu ya upigaji kura haifundishi kuongeza uwezo wa kufikiri namaanisha haiongezi reasoning capacity ya mtu kwa kiwango kama cha elimu ya sekondari na kuendelea elimu ya juu.

Katika hali yetu ya umasikini bado rushwa ktk uchaguzi ni kikwazo hata mbele ya elimu ya upigaji kura.
 
We ndo kilaza kabisa, kuna nin cha kuiga kwa chandimu, kama hujui sasa hata kwa katiba ya sasa hilo lipo ila limewekwa kwa wabunge kithungu wanasema (VOTE OF NO CONFIDENCE) lakin sijaona kibaya cha mpaka kufikia huko zaidi utakuwa unatafuta machafuko na nchi haitatawalika, maana leo akiamka huyu anataka kura kumuondoa huyu madarakan hali hiyo itaendelea,
Fikiri kwanza kabla ya kupost
 
Sanduku LA kura haliamui mshindi labda kwa nchi zilizoendelea
 
Nani akupe katiba mpya??....unafikiri ni mafala kiasi hicho?!!
 

Utapata tabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…