Sisi wengine hatuelewagi darasani hadi twisheniSasa somo la nini wakati utakachojifunza hakitekelezeki?
Kwa mfano hii no 6 siku nikileta kaufundi kidogo kwenye mechi anawaka ooh umajulia wapi? lazima kuna mtu...........6. Kuwa mtu ambae anaweza akajifunza hili au lile kutoka kwako. Usiwe mtu ambae kila siku ni yule yule bila nyongeza yoyote.
Sisi wengine hatuelewagi darasani hadi twisheni
Kwa mfano hii no 6 siku nikileta kaufundi kidogo kwenye mechi anawaka ooh umajulia wapi? lazima kuna mtu...........
Dada Lizy najitahdi sana kukaa nampenz wangu nakuyatekeleza yote hayo lakn hataki kubadilika na tabia yake ya kunywa pombe,kurudi nyumban late nakuvuta sigara kila cku nmebakia kulia nakumwambia aache hyo tabia ila no changes,plz lizzy naomba msaada ata kwa kuni pm!
Uda pole mwaya.
Kwanza unatakiwa ujue kwamba haiwezekani kabisa kumbadilisha mtu ambae yeye mwenyewe HATAKI kubadilika. Utapiga kelele sana, utalalamika sana, utalia sana ila hamna kitakachobadilika zaidi ya kumfanya aone unamchosha na matakwa yako ambayo sio yake.
Swala la kuvuta sigara kwa mfano. . . unaweza ukajitahidi kumwambia kuhusu madhara yake katika hali ya utulivu badala ya kumwambia tu "mi sitaki uvute sigara" na kuwa kama unampangia maisha. Mweleze kiasi gani harufu yake inakuboa anapokua karibu na vitu kama hivyo.
Pombe kwakweli kumtaka mtu ambae amezoea kunywa aache tu ndani ya siku au wiki ni kama unamuonea. Kama unywaji wake sio ule uliopitiliza, yani hanywi mpaka akirudi anapepesuka na kuanguka hovyo, hawi mgomvi basi acha afurahie bia zake mbili tatu. Jua kadiri utakavyoendelea kulalamika na kumuagiza aache ndio unamsukuma aongeze hata muda wa kukaa huko Bar kwasababu anajua akirudi kwako ni kelele. . kelele.
Na kama ni muhimu sana kwako yeye kuacha hayo mambo na yeye haonyeshi utayari wa kufanya hivyo fikiria kuhusu kuvunja hayo mahusiano. Nakwambia hivi kwasababu kama anakukera sasa hivi usitegemee atabadilika mkiona kwasababu hamna uhakika wa hilo. Hivyo either umkubali kama alivyo mapema hii ili isikusumbue baadae ama uangalie kwingine. . .
suppose umeolewa au you are in a steady relationship,hivi ukiamua ku cheat utacheat na mwanaume wa namna gani...kijana?...handsome?.....pedejee?.......mtu mzima?.....mkunaji kiatu size 10?........au ??Uliza. . . .
Siwezi kuamua kucheat. . .uliza nikiamua kuingia kwenye mahusiano nitachagua mwanaume wa namna gani.suppose umeolewa au you are in a steady relationship,hivi ukiamua ku cheat utacheat na mwanaume wa namna gani...kijana?...handsome?.....pedejee?.......mtu mzima?.....mkunaji kiatu size 10?........au ??
uta cheat tu.Siwezi kuamua kucheat. . .uliza nikiamua kuingia kwenye mahusiano nitachagua mwanaume wa namna gani.
Young lady kumbuka hakuna binadamu mwingine ambaye anaweza kuwa wewe, sasa kutaka mwenzako abadilike kwa kila kitu ili awe wewe ni next to Impossible.Dada Lizy najitahdi sana kukaa nampenz wangu nakuyatekeleza yote hayo lakn hataki kubadilika na tabia yake ya kunywa pombe,kurudi nyumban late nakuvuta sigara kila cku nmebakia kulia nakumwambia aache hyo tabia ila no changes,plz lizzy naomba msaada ata kwa kuni pm!