Ndani ya masaa 24, Kenya imepima 504 na kupata waathirika 5, ila kuna 10 wamepona

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Sasa idadi ya waathirika imetimia 189 hii ni baada ya kupima watu zaidi 2,000, idadi ya
Wakenya waliopona imeongezeka na kuwa 22 sasa.
Kasi ya kupima inaendelea, hivi karibuni watu watapimwa mlango kwa mlango.

----------------------------

Health CS Mutahi Kagwe on Friday, April 10, announced that the number of confirmed Covid -19 cases in Kenya had risen to 189.

Speaking from Afya House, the CS confirmed that in the last 24 hours, five individuals had tested positive for the disease.

"We have managed to test 504 samples, 5 cases have tested positive to the virus," he stated.

"All five cases are Kenyans and only one has a travel history," he added.

The CS stated that three of the five are from Mombasa County while Nyandarua and Nairobi Counties had recorded one covid-19 positive case each.
Two are male while three are female.

Further, the Health CS informed that 10 individuals had recovered and would be discharged after they tested negative twice.

The number of recovered patients has now risen to 22.
Kenya's Covid-19 Cases Rise to 189
 
Kiganjo Police College Closed Indefinitely:

A recruit has shown symptoms of covid-19 prompting an immediate closure of the training college.

Kenya mnacheza,hii ngoma bado kali kwenu. Hao wengine walioruhusiwa kwenda makwao watausambaza balaa
 
Naona Zanzibar leo wametangaza ongezeko la Watanganyika wawili ambao wamepeleka kirusi huko kisiwani, mnaponza kila aliye jirani na nyie watu, hamtulii na kuchukua tahadhari, mnazurura kote, full mibanano kwenye madaladala na uvundo wa shombo, pia mnaendelea kutuletea kirusi huku, ila huku tuna uwezo wa kudhibiti kiaina, lakini hako kakisiwa mtakafuta kakiendelea kuwapokea.
Mpaka sasa cases mpya Zanzibar ni za Wabongo watupu wanaokwenda huko, mara wametokea Tanga....
 
Sasa idadi ya waathirika imetimia 189 hii ni baada ya kupima watu zaidi 2,000, idadi ya
Wakenya waliopona imeongezeka na kuwa 22 sasa.
Kasi ya kupima inaendelea, hivi karibuni watu watapimwa mlango kwa mlango.

----------------------------

Health CS Mutahi Kagwe on Friday, April 10, announced that the number of confirmed Covid -19 cases in Kenya had risen to 189.

Speaking from Afya House, the CS confirmed that in the last 24 hours, five individuals had tested positive for the disease.

"We have managed to test 504 samples, 5 cases have tested positive to the virus," he stated.

"All five cases are Kenyans and only one has a travel history," he added.

The CS stated that three of the five are from Mombasa County while Nyandarua and Nairobi Counties had recorded one covid-19 positive case each.
Two are male while three are female.

Further, the Health CS informed that 10 individuals had recovered and would be discharged after they tested negative twice.

The number of recovered patients has now risen to 22.
Kenya's Covid-19 Cases Rise to 189
Ila kiukweli hili la kuwapima wote naliunga mkono natamani nasi iwe hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupima mass nako ni hatari kwani unaweza ukawa contaminated kama nchi moja kusini mwa afrika raisi na mawaziri wamewekwa uzuioni kwa matazamio
 
Wamevitoa kenya just imagine haka ka mmama ukute kanatusambazia huku,wakenya mtatuua jaman

Brenda Naliaka Mukhwan arrived in Bungoma from Nairobi on April 1, 2020 feeling unwell
She went to the Kimilili Sub-county Hospital where upon check-up, she was found to be exhibiting COVID-19 symptoms and was placed under quarantine, but escaped after a short while.
Naona Zanzibar leo wametangaza ongezeko la Watanganyika wawili ambao wamepeleka kirusi huko kisiwani, mnaponza kila aliye jirani na nyie watu, hamtulii na kuchukua tahadhari, mnazurura kote, full mibanano kwenye madaladala na uvundo wa shombo, pia mnaendelea kutuletea kirusi huku, ila huku tuna uwezo wa kudhibiti kiaina, lakini hako kakisiwa mtakafuta kakiendelea kuwapokea.
Mpaka sasa cases mpya Zanzibar ni za Wabongo watupu wanaokwenda huko, mara wametokea Tanga....
 
Wamevitoa kenya just imagine haka ka mmama ukute kanatusambazia huku,wakenya mtatuua jaman

Brenda Naliaka Mukhwan arrived in Bungoma from Nairobi on April 1, 2020 feeling unwell
She went to the Kimilili Sub-county Hospital where upon check-up, she was found to be exhibiting COVID-19 symptoms and was placed under quarantine, but escaped after a short while.

Hehehe! Umeishiwa hoja, hivi mbona unaandika kama mwanamke, au itakua wewe ndiye huyo kwenye picha ya avatar yako. Nifahamishe jinsia yako ndio nijue nakujibu vipi kuanzia sasa. Maana kama wewe dume na unaandika ulivyoandika, itabidi nikupuuze.
 
Hahahahaha hadi nimepaliwa. Avatar inaniwakilisha.wewe ndo umeishiwa hoja kuanza kudai jinsia

Aha! Kama wewe mamse basi hamna kwere (Kiswa cha Chuga, Arusha), halafu hiyo avatar yako tamu....
Hili la Corona lazima tuzinguane na nyie kama mkizembea maana tumeunganishwa kwenye kiuno, tunachangia makabila, tunaoana, mashemeji wako pande zote mbili, huku kuna mademu wenu tumeoa, pia huko wapo mademu wetu wameolewa, hivyo hamna kukimbiana, tutapumuliana humu humu.
 
Sasa tumeongeza idadi ya wanaowezwa kupimwa ndani ya masaa 24 kutoka chini ya elfu moja hadi 33,000!, Watakao anzwa kwa mass testing ni madaktari alafu wakaazai wa Nairobi ikifwatiwa na county zengine kama Mombasa, Kilifi, Kwale....ikiendelea hivyo... Wizara inasema tutarajie wagonjwa wataongezeka kwa wingi tukianza mass testing ya kila mtu
 
Evidence?

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy
 
Wamevitoa kenya just imagine haka ka mmama ukute kanatusambazia huku,wakenya mtatuua jaman.
Hehehe! Umeishiwa hoja, hivi mbona unaandika kama mwanamke, au itakua wewe ndiye huyo kwenye picha ya avatar yako.
Mwanzoni nilifurahi kwamba unatuhabarisha. Baadaye nimesikitika kuona kwamba lengo lilikuwa ni kufanya malumbano. Tuna tatizo kichwani Waafrika, yaani mtu unatengeneza ligi hata katika hatari kubwa kama hii?
 
aisee ni sheedahh [emoji23]
FB_IMG_1586612317802.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom