Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe!! Kama mlivyoiba mlima wetu...
Stupid, the maximum you can test per day will be 5000, the evidence is hereSasa tumeongeza idadi ya wanaowezwa kupimwa ndani ya masaa 24 kutoka chini ya elfu moja hadi 33,000!, Watakao anzwa kwa mass testing ni madaktari alafu wakaazai wa Nairobi ikifwatiwa na county zengine kama Mombasa, Kilifi, Kwale....ikiendelea hivyo... Wizara inasema tutarajie wagonjwa wataongezeka kwa wingi tukianza mass testing ya kila mtu
Report from Afya House Kenya today
Total cases 191
Death 7
Recovered 10
Ngoma bado mbichi kenya ila naona wenyewe wapo serious maana wanatoa updates after 24hrs daily
Sent using Jamii Forums mobile app
Stupid ni wewe na kijiji chako, Afadhali mwenzako Geza kauliza simple kwamba nilete ushahidiStupid, the maximum you can test per day will be 5000, the evidence is here
Covid-19: Good News for Kenyans as Number Jumps to 191
Sent using Jamii Forums mobile app
Evidence?
Nzuri hiyo. Lakini kupimwa na kuonekana huna ugonjwa kusiwe ndiyo hati ya kukuruhusu kuzagaa mtaani bila kufuata masharti ya kinga yanayosemwa na wataalamu wa afya. Mtu ambaye hajapimwa, atajilinda zaidi ambapo aliyepima na kuonekana hajaathirika atajisikia huru na kwa hiyo ana uwezekano mkubwa zaidi wa kuambukizwa siku za usoni. Hapa elimu ya jamii inahitajika sana kuambatana na upimaji huo.Sasa idadi ya waathirika imetimia 189 hii ni baada ya kupima watu zaidi 2,000, idadi ya
Wakenya waliopona imeongezeka na kuwa 22 sasa.
Kasi ya kupima inaendelea, hivi karibuni watu watapimwa mlango kwa mlango.
----------------------------
Health CS Mutahi Kagwe on Friday, April 10, announced that the number of confirmed Covid -19 cases in Kenya had risen to 189.
Speaking from Afya House, the CS confirmed that in the last 24 hours, five individuals had tested positive for the disease.
"We have managed to test 504 samples, 5 cases have tested positive to the virus," he stated.
"All five cases are Kenyans and only one has a travel history," he added.
The CS stated that three of the five are from Mombasa County while Nyandarua and Nairobi Counties had recorded one covid-19 positive case each.
Two are male while three are female.
Further, the Health CS informed that 10 individuals had recovered and would be discharged after they tested negative twice.
The number of recovered patients has now risen to 22.
Kenya's Covid-19 Cases Rise to 189
Nzuri hiyo. Lakini kupimwa na kuonekana huna ugonjwa kusiwe ndiyo hati ya kukuruhusu kuzagaa mtaani bila kufuata masharti ya kinga yanayosemwa na wataalamu wa afya. Mtu ambaye hajapimwa, atajilinda zaidi ambapo aliyepima na kuonekana hajaathirika atajisikia huru na kwa hiyo ana uwezekano mkubwa zaidi wa kuambukizwa siku za usoni. Hapa elimu ya jamii inahitajika sana kuambatana na upimaji huo.
Evidence?
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy
Wakenya wakifanya ligi kuna tatitizo. Watanzania wenzako led by Joto la jiwe wakifanya ligi hamna tabu. Kweli kazi mnayo!MK254
Bwashee punguza ujivuni wa kipuuzi, Corona sio ya kufanyia ligi unazotaka.... chukua tahadhari zote muhimu na uokoe jamii yako.
Stupid, the maximum we will test per day is 35,000. Evidence is here!Stupid, the maximum you can test per day will be 5000, the evidence is here
Covid-19: Good News for Kenyans as Number Jumps to 191
Sent using Jamii Forums mobile app
Report from Afya House Kenya today
Total cases 191
Death 7
Recovered 10
Ngoma bado mbichi kenya ila naona wenyewe wapo serious maana wanatoa updates after 24hrs daily
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa idadi ya waathirika imetimia 189 hii ni baada ya kupima watu zaidi 2,000, idadi ya
Wakenya waliopona imeongezeka na kuwa 22 sasa.
Kasi ya kupima inaendelea, hivi karibuni watu watapimwa mlango kwa mlango.
----------------------------
Health CS Mutahi Kagwe on Friday, April 10, announced that the number of confirmed Covid -19 cases in Kenya had risen to 189.
Speaking from Afya House, the CS confirmed that in the last 24 hours, five individuals had tested positive for the disease.
"We have managed to test 504 samples, 5 cases have tested positive to the virus," he stated.
"All five cases are Kenyans and only one has a travel history," he added.
The CS stated that three of the five are from Mombasa County while Nyandarua and Nairobi Counties had recorded one covid-19 positive case each.
Two are male while three are female.
Further, the Health CS informed that 10 individuals had recovered and would be discharged after they tested negative twice.
The number of recovered patients has now risen to 22.
Kenya's Covid-19 Cases Rise to 189
Ila kiukweli hili la kuwapima wote naliunga mkono natamani nasi iwe hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app