Ndani ya masaa 24, Kenya imepima sampuli 766 na kugundua 6 zenye Corona

That's what you say. Your words will never define who i am .I know who i am not what you say i am.Hapo upo ?Low minded creature na ulikubali kabisa kuwa wewe ni low minded body. 🤣🤣🤣🤣🤣
Nenda ukamsikilize Trump anaongea huko kuhusu corona virus testing.
 
That's what you say. Your words will never define who i am .I know who i am not what you say i am.Hapo upo ?Low minded creature na ulikubali kabisa kuwa wewe ni low minded body. 🤣🤣🤣🤣🤣
He is an ignoramus do not waste your energy on him
 
Ishu sio kugundua. Ni kutibu!

Corona hauwezi ukaitibu, haina dawa, hadi sasa haijagundulika dawa, kupima ni muhimu sana maana unawalinda walio karibu nawe, utajitenga, hutawaambukiza wazee au watu dhaifu kwa jamii.
Sijui mbona elimu yenu ina matatizo hivi, naomba na kutumai wewe usiwe tegemezi sehemu yoyote kwenu hapo, maana nawahurumia sana wanaokutegemea.
 
Nategemewa na kundi kubwa sana la watu. Sio familia yangu tu.
 
Kasi ya kupima imeendelea kuongezeka, ikumbukwe pia waliopona wametimia 24.
Hadi sasa tumepima 7,449

Six more people have been confirmed positive for coronavirus from 766 samples tested in last 24 hours bringing total number of cases in Kenya to 197, according to a statement from Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe.
Covid-19 update: Six new cases, one death in last 24 hours
Tolea ufafanuzi hili swala jirani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jirani mkiendelea na kupima massively wakati midomo na pua viko wazi mtapima mpaka Yesu arudi. Nchi zetu zihamasishe barakoa kuliko lockdown.
Corona hauwezi ukaitibu, haina dawa, hadi sasa haijagundulika dawa, kupima ni muhimu sana maana unawalinda walio karibu nawe, utajitenga, hutawaambukiza wazee au watu dhaifu kwa jamii.
Sijui mbona elimu yenu ina matatizo hivi, naomba na kutumai wewe usiwe tegemezi sehemu yoyote kwenu hapo, maana nawahurumia sana wanaokutegemea.
 
Nawakuzunikia hao wanaokutegemea, au labda iwe ukiwa huko je huwa unatumia akili, na ukija humu unazishusha ilmradi uandike andike.
Wananiita THE MAN WITH UNCONVENTIONAL WISDOM...
 
Hongereni sana Kenya kwa kutest massively. Sisi hapa tunabana matumizi.
"Incubation period" ni siku 14 kiasi cha vipimo hivyo kuweza kugundua wakati aliyeambukizwa aweza kuambukiza siku ya kwanza. Hata nchi tajiri hazijafanya "massive testing". Nadhani umenipata.

Kipimo cha uhakika ni wewe mwenye kuzingatia ushauri wa kutokuambukizwa, la hata ukipimwa ukajisikia salama na kujirusha utaambukizwa na mwishowe ni kifo.
 
Back
Top Bottom