Ndani ya masaa 24 Kenya imepima watu 1,330 na kupata waathirika 8, halafu saba zaidi wamepona

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kasi ya kupima inapanda, sio mchezo watu 1,330
Halafu saba zaidi wamepona
Pima pima pima, Wakenya tufahamu sasa hivi kirusi kiko mtaani na kinaendelea kukatiza hivyo jitihada za tahadhari zichukuliwe za kila namna, leo nimetembelea baadhi ya maeneo nimeona wengi wapo makini lakini kuna ndugu zetu jameni itabidi virungu vitumike ndio waelewe nini kinaendelea, bado wanajipiga vifua kama majirani zetu wa kusini.

-----------------------------------------

Health Chief Administrative Secretary (CAS) Mercy Mwangangi, on Sunday, April 19, announced that in the last 24 hours, 8 individuals had tested positive for Covid-19, bringing the total number of confirmed cases within the country to 270.

The new cases came after the Ministry of Health (MoH) tested 1,330 samples in the last 24 hours.

Speaking outside Afya House, Nairobi during the daily presser, the CAS also revealed that the ministry's efforts to contain imported cases were seemingly successful, however, the rate of new cases within the country was a cause of concern, she reiterated.

Mwangangi also addressed the rising concern regarding Kenyans caught flouting the measures set to curb the spread of the virus.

"All those who break the curfew rules will be assumed to have been in contact & will hence be taken to quarantine places for 14 days," she warned.

She further revealed that the government would deploy technological surveillance to arrest those congregating after curfew.

Source: 7 Recover as Kenya's Covid-19 Cases Rise to 270
 
Ila umekuja mbio n kama ulikua
Unalipwa kuja kuandika

god is good
 
Ila umekuja mbio n kama ulikua
Unalipwa kuja kuandika

god is good

Yeah hiyo mbio ndio inahitajika, nyie huko naona hata Zanzibar wamewashinda kwa kasi, wao wanatangaza moja kwa moja.
Hiki kirusi kwa sasa hakitaki usiri wowote, nimeona hata mabingwa wa usiri akina Korea Kaskazini, Urusi na Iran wameamua kuyatangaza tu.
Hatungefika huku kama Mchina angekua muwazi tangu pale kilimuibukia, yeye kaachia mpaka sukari imekolea ndio akatoa mayowe, sasa dunia inateseka.
 
Uganda pia idadi imepungua sana ya wanaoathirika

Sent using Jamii Forums mobile app
Kesi ya kwanza ya Corona Kenya tuliipata 13 March --- tuko na siku 37 tangu tuanze vita dhidi ya corona
Kesi ya kwanza ya Corona Tanzania ilikua 16 March --- mko na siku 34 tangu muanze vita dhidi ya corona
Kesi ya kwanza ya Corona Uganda ilikua 28 March ---- wako na siku 22 tangu waanze vita dhidi ya corona

Kwahivyo Uganda ikipitisha angalau siku 34 na iwe haijafika kiwango chenu cha maambukizi hapo ndo unaweza ukawasifia
 
Uganda wanapima 500 kwa siku, kasi yao imeizidi Tanzania kwa mbali.
 
Kasi ya kupima inapanda, sio mchezo watu 1,330
Halafu saba zaidi wamepona
Pima pima pima, Wakenya tufahamu sasa hivi kirusi kiko mtaani na kinaendelea kukatiza hivyo jitihada za tahadhari zichukuliwe za kila namna, leo nimetembelea baadhi ya maeneo nimeona wengi wapo makini lakini kuna ndugu zetu jameni itabidi virungu vitumike ndio waelewe nini kinaendelea, bado wanajipiga vifua kama majirani zetu wa kusini.

-----------------------------------------

Health Chief Administrative Secretary (CAS) Mercy Mwangangi, on Sunday, April 19, announced that in the last 24 hours, 8 individuals had tested positive for Covid-19, bringing the total number of confirmed cases within the country to 270.

The new cases came after the Ministry of Health (MoH) tested 1,330 samples in the last 24 hours.

Speaking outside Afya House, Nairobi during the daily presser, the CAS also revealed that the ministry's efforts to contain imported cases were seemingly successful, however, the rate of new cases within the country was a cause of concern, she reiterated.

Mwangangi also addressed the rising concern regarding Kenyans caught flouting the measures set to curb the spread of the virus.

"All those who break the curfew rules will be assumed to have been in contact & will hence be taken to quarantine places for 14 days," she warned.

She further revealed that the government would deploy technological surveillance to arrest those congregating after curfew.

Source: 7 Recover as Kenya's Covid-19 Cases Rise to 270
Wakenya mmetisha, ila wakenya hamna akili timamu for sureView attachment 1424181
tapatalk_1587331883884.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya mmetisha, ila wakenya hamna akili timamu for sureView attachment 1424181View attachment 1424182

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii imenikumbusha Bill Gates alivyo "tengeneza" machine ya ku-recycle sewer water( maji ya chamber) na akanywa. Wengine walikataa kunywa even though chemically ilikua pure than the average tap water.
Tatizo waAfrica tumekua kama wanawake, tunaangali vitu kwa emotions nyingi badala ya pros and cons. Je is it unthinkable kufua na kusanitize mask ikatumika tena? Hata kama effectiveness itapungua ila naamini bado itakua effective kuzidi leso wanazotumia wengine.....
 
Hii kweli maana sijaelewa povu za nini, mimi binafsi hapa nikitumia barakoa kila nikirudi ndani huwa naitoa kwa makini kisha naitumbukiza kwenye maji yaliyotiwa dawa kwa muda halafu naifua. Na ndivyo watu wengi wanavyofanya, hapa yaani nitoke mara moja kwenda dukani kama nimevaa barakoa, hata dakika 20 haziishi kabla sjarudi ndani, haja gani niitupe.

Muhimu ni kufahamu Corona kiutaalam na wala hautahangaika akili, kufahamu namna gani ya kuiua.
 
Wakenya bado tu hamjaingia kwenye Guinness Book of Records?

Kwa siku mbili naona mumepandisha namba 87, hiyo ni rekodi mpya haijawa hivyo kwenye nchi yoyote ukanda huu, endelea kuchekelea Wakenya. Idadi yenu sasa 257.
Ndani ya siku nne tu mumepandisha balaa....
 
Bado mnaongoza. Hongereni.
 
Uganda wanapima 500 kwa siku, kasi yao imeizidi Tanzania kwa mbali.
eeh nimeona kwa taarifa kwamba wanapima wengi , kabla tuongeze uwezo wetu wa kupima hadi 1,200 kwa siku, tulikua tuko sawa kwa idadi ya sampuli tunazopima kwa siku
 
Back
Top Bottom