Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Ndio, ni sawa tumekubali bado tunaaongoza, lakini hata wewe unafaa kushtuka ukiona mnaongeza watu themanini ndani ya masaa 24....Lakini bado mnaongoza. Hutaki hiyo sifa?
Alafu technically, Kwasasa Kenya iko na total cases nyingi kuliko TZ, lakini ukiangalia hizi takwimu za leo,Kenya kuna 14 walifariki na pia kuna wagonjwa 69 wengine walipona na kurudi negative na waliruhusiwa kwenda nyumbani, kwahivyo wale walio na corona Kenya ni 198, lakini Tanzania walio pona ni 11 pekee kwahivyo bado mko na active case 233... So technically speaking, leo hii 20-Apr-2020, Tanzania iko na wagonjwa 233 hospitalini walio na corona na kenya iko na wagonjwa 198 wa corona walio hospitalini!