Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Akiendelea na kasi aliyonayo sasa hivi, atajikuta anawabadili hao mawaziri hata mara 20!Atamaliza miaka 10 hajafanya la.maana
Jerry slaa alikuwa anapambana kamtoa yaani.hataki mtu umzidi.umaarufu[emoji16][emoji38][emoji38]Akiendelea na kasi aliyonayo sasa hivi, atajikuta anawabadili hao mawaziri hata mara 20!
Sasa kama ni incompetent kwa aliwekwa?Hiyo wizara ndiyo macho, masikio, mdomo wa nchi kwenye international relations, sasa mtu incompetent kama januari kwa nini asitolewe?
Jina la ukoo lilimbeba.Sasa kama ni incompetent kwa aliwekwa?
Hiyo incompetence yake ilianzia hapo wizara ya mambo nje?
Wanajisahau!Kiufundi unaweza ukasema ni mawaziri watano. Lakini pia ukisema ni mawaziri wanne napo utakuwa hujakosea maana kuna huyo mmoja alirithiwa na baadaye kidogo ndo akabadilishwa.
Ni hii wizara ya mambo ya nchi za nje.
Hivi kuna nini hapo wizarani? Katika awamu hii tokea 2021, mawaziri wake wengine hawadumu hata mwaka mmoja kwenye hiyo nafasi.
Yule aliyetumbuliwa juzi yeye kadumu kwa miezi 10, kama sijakosea.
Na tokea 2021, hiyo wizara imeongozwa na watu wanne tofauti.
Hivyo, kwa wastani, mawaziri wa hiyo wizara kwenye huu utawala wa Samia, hawadumu zaidi ya mwaka.
Wanadumu kwa takriban miezi tisa hivi.
Tatizo ni wao au mteule wao?
View attachment 3053761