mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,459
Wafanyakazi wa wasafi si itakua mshahara wa miaka 50Tukianzia msaada wa Tsh millioni 68 kule Sumbawanga na kule Zanzibar Diamond ametoa zaidi ya Tsh Millioni miamomja kwa mda mfupi tu
inasemekana msaada alioutoa ni sawa mshahara wa Bdozen wa miaka 10 pale mjengoni kwao, Pia ni Mshahara wa Soudy brown wa miaka 12 pale mjengoni.
Mkuu mpaka ikulu inatambua kwanini isifike?Hio miasaada inawafikia kweli, au ndio kik za msimu
Katoa uzi humu Jamiiforum,Ww umetoa msaada wa kiasi gani? Pia kwenye mshahara wako ni sawa na mshahara wa miez mingap ukigawa hizo mil 100?tuanze na ww[emoji867][emoji867]
Hongera sana Diamond Mungu akuzidishie ili watu wazidi kufaidi matunda yako.Tukianzia msaada wa Tsh millioni 68 kule Sumbawanga na kule Zanzibar Diamond ametoa zaidi ya Tsh Millioni miamomja kwa mda mfupi tu
inasemekana msaada alioutoa ni sawa mshahara wa Bdozen wa miaka 10 pale mjengoni kwao, Pia ni Mshahara wa Soudy brown wa miaka 12 pale mjengoni.