Ndani ya mwezi huu Diamond ametoa misaada yenye thamani zaidi ya millioni 100

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
602
Reaction score
1,459
Tukianzia msaada wa Tsh millioni 68 kule Sumbawanga na kule Zanzibar Diamond ametoa zaidi ya Tsh Millioni miamomja kwa mda mfupi tu

inasemekana msaada alioutoa ni sawa mshahara wa Bdozen wa miaka 10 pale mjengoni kwao, Pia ni Mshahara wa Soudy brown wa miaka 12 pale mjengoni.
 
Wafanyakazi wa wasafi si itakua mshahara wa miaka 50
 
Sasa Bdozen ameingia vipi kwenye misaada ya huyo jamaa?
 
Go chibudi go chibude...your star is shining, show 'em wat u gat
 
Ww umetoa msaada wa kiasi gani? Pia kwenye mshahara wako ni sawa na mshahara wa miez mingap ukigawa hizo mil 100?tuanze na ww[emoji867][emoji867]
 
Hongera kwa kufuatilia mishahara ya watu, wewe hapo ni sawa na mshahara wa miaka mingapi au mpaka unastaafu pamoja na kinua mgongo?
 
Ww umetoa msaada wa kiasi gani? Pia kwenye mshahara wako ni sawa na mshahara wa miez mingap ukigawa hizo mil 100?tuanze na ww[emoji867][emoji867]
Katoa uzi humu Jamiiforum,
 
Tukianzia msaada wa Tsh millioni 68 kule Sumbawanga na kule Zanzibar Diamond ametoa zaidi ya Tsh Millioni miamomja kwa mda mfupi tu

inasemekana msaada alioutoa ni sawa mshahara wa Bdozen wa miaka 10 pale mjengoni kwao, Pia ni Mshahara wa Soudy brown wa miaka 12 pale mjengoni.
Hongera sana Diamond Mungu akuzidishie ili watu wazidi kufaidi matunda yako.
 
Back
Top Bottom