technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Wamama wengi uwa wanachagua ccm,
Mama yangu amesitaafu mwaka huu ajalipwa mafao yake mpaka sasa Mimi nimemwambia wazi ni juu ya utawala mbovu uliopo madarakani.
Bibi yangu yeye Kila mwaka uchagua CCM nimemwambia wazi asije nipigia simu kwamba Hana sukari na kwao sukari haipatikani na ikipatikana inapatikana kwa bei kubwa bali ajitahidi kabadilisha uongozi kwani tatizo ni utawala mbovu akiichagua ccm awe tayari kujihudumia.
Mdogo wangu wa kike yupo chuo mwaka wake wa Kwanza sasa mwaka Jana hakupata mkopo nimemwambia wazi tatizo lililopo ni mfumo mbovu wa CCM akiichagua maana yake miaka yake 3 ya kusoma chuo hatopata mkopo na ataendelea kutuangaisha sisi kaka zake wakati pia tuna familia.
Wadogo zetu wanafeli shule kwa sababu ya miundombinu mibovu ya shule iliyowekwa na CCM nimewaambia wazee nyumbani kwetu kwamba mfumo wa elimu uliopo hauwezi kuwabeba watoto wao kufaulu hasa kidato cha nne wakiichagua CCM waendelee kuvumilia.
Nimeongea pia na vijana wa boda boda kwamba uhaba wa mafuta nchini tatizo ni CCM sasa wachague kuendelea kuchagua CCM waendelee kupata mafuta kwa foleni kwenye vituo na kununua mafuta kwa Bei hata mara mbili au wachague mfumo mpya utakao waletea mabadiliko kwenye sector yao.
Nimeongea pia na Machinga nikawaeleza elfu 15 ya kitambulisho Kila mwaka ni kwa sababu ya mfumo wa CCM haiwezekani una mtaji wa elf 20 halafu ulipie kitambulisho cha elfu 15 Kila mwaka huu ni wizi na utapeli na wanatakiwa wachague kuendelea kuibiwa pesa zao hata kidogo walicho nacho au wachague mfumo mpya wakutengewa maeneo ambayo yatakuwa promoted ili wateja wafike kwenye maeneo hayo!!
Wachague je wapo tayari ili wapewe mikopo ili wakuze mitaji au waendelee na kutapeliwa hata kidogo walicho nacho?
Nimeongea na watu mbali mbali wengine wakaniambia sisi siasa hazituhusu yeyote tu achaguliwe nikawauliza hivi Akwilina alikuwa mwana siasa mpaka anapigwa risasi?
Wakasema hapana nikawaambia alipigwa risasi kwa sababu ya mfumo mbovu wa CCM kutowajibisha watu na hata kesho unaweza kuwa wewe au baba yako au mama yako au mwanao.
Nikawaambia Aliphonce mawazo alikufa na kuacha watoto wadogo je wale watoto siasa inawahusu nini mpaka wampoteze baba je wakikua wale na kugundua aliyesababisha na wakaamua kulipiza kisasi Hali itakuwaje?
Nikawaeleza tunatakiwa kuweka utawala wa wote unaojali binadamu awe CCM awe chadema wote wapate haki sawa.
Mpaka sasa niseme nimeshamtafutia Lissu zaidi ya kura 1,000 za kuongea na watu na kuwapa Elimu juu ya utawala uliopo.
Ndio maana nasema Lissu anashinda Urais mwaka huu kama Kila anayempenda atamtafutia angalau kura 10.