Uchaguzi 2020 Ndani ya mwezi huu nimemtafutia Tundu Lissu kura zaidi ya 1,000

Wewe unafaa sana!
 
Vingine sawa.. Ila kwa wadogo zako hapo umezingua..

Kuna uwezekano wadogo zako ni vilaza.. Usitegemee serikali ya Lissu itawafanya wafaulu technically,
Hapana mkuu hapo namtetea mdau, siku hizi elimu imekuwa ya ovyo sana. Mpaka madaraja ya ufaulu yana badilishwa ili tuu ionekane wanaofaulu ni wengi. Japo mashule ni mengi lakini ubora wa elimu upo chini sana unless uwe na uwezo kumsomesha mtoto wako private.
 
Mpaka saiz kura za lisu ninazo 18 ni yeye 2020
 
Mshamba na Limbukeni sijui atasema nini mwaka huu?.
 
Big up sana mkuu
 
Nyinyi watu sijui ata mnatumia akili gani kufikiri, magufuli bado ni Rais mpaka 2025, Hakuna mtanzania anaejielewa anataka kumuachia kiongozi shupavu kama JPM halafu tuchague garasa kama Lissu kwa kweli hapana au uchague makando kando kama Membe siutakuwa upunguani
Mimi nime motivate pia community yote inayonizunguka kumchagua Magufuli
Tena nikiwapa reference za kutosha za kumpa kura magufuli
Na izo ni nitoazo ni mifano hai
 
Hujafikia hata idadi ya wajumbe wa Ccm hata mkoa mmoja.. bado saana......tumpe tuu magufuli kura za ndio
 
Ubarikiwe baba, hata sie wanajf tumezima ngebe za Mataga, tumeiteka jf, tume badili fikra na mitazamo ya mamia kwa makumi kupitia jf, tunasubiria kwenda field kumaliza kabisa, ikifika October 28 asubuhi saa 4 tuko ikulu
 
Magu hata kule kwao chato alikozaliwa hawezi fikisha kura 1000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…