Ndani ya Nyumba- Nairobi, Mko powa "Machalii"...?

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Posts
10,565
Reaction score
7,984
Habari zenu ndugu wanaJF wa Kenya.

Ningependa kuwafahamisha kuwa niko Nairobi hadi next Monday.

Kwa wale watakaokuwa na nafasi na wangependa tuonane basi naomba wanaiandikie PM ili tuelekezane namna ya kukutana.

Nitafurahi sana kukutana na rafiki zangu Kabaridi, livefire, Ab-Titchaz, mfianchi, Dr. Job na wengine wote ambao tumewahi ku-interact hapa JF. Bila kumsahau mdau wa nguvu Nyani Ngabu bila shaka hauko mbali na NBI.:teeth::teeth::teeth:

Thanks.
 
Last edited by a moderator:

Niletee zawadi tu dady.Stay well.
 
Safe trip and enjoy. Samahani mwenzio niko ughaibuni nabeba maboksi!...😎

Umemsahau kamanda mwenyewe Bwana Smatta, mkulu wa itifaki.
 
Last edited by a moderator:
Safe trip and enjoy. Samahani mwenzio niko ughaibuni nabeba maboksi!...😎

Umemsahau kamanda mwenyewe Bwana Smatta, mkulu wa itifaki.

Hahahaha... bila shaka mkuu wa itifaki Smatta atakuwa amekusoma.
 
Last edited by a moderator:
Ee bwana NN mumezidi kumtaja, nani alisema yupo Nai?
 
[video=youtube_share;S6nkOG-9-oY]http://youtu.be/S6nkOG-9-oY[/video]
 
Šafari njema mkuu, epuka sehemu za mikusanyiko!! (WestGate).
 
Habari za huko mkuu?
 
Last edited by a moderator:

Ndugu yangu mbona umenisahahu mimi, je hutaki nikutembelee? Sinywi bia!
 
Ndugu yangu mbona umenisahahu mimi, je hutaki nikutembelee? Sinywi bia!

Hahahahaa hapana Mkuu Kichuguu sijakusahau sema tu sikujua kwamba uko pande za Nairobi.

Bado nipo Nairobi naondoka kesho asubuhi, kama vipi tuonane jioni mkuu nimefikia hoteli moja iko pande za upper hill.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaa hapana Mkuu Kichuguu sijakusahau sema tu sikujua kwamba uko pande za Nairobi.

Bado nipo Nairobi naondoka kesho asubuhi, kama vipi tuonane jioni mkuu nimefikia hoteli moja iko pande za upper hill.

Hapana mkubwa wangu, siko hapo NBI ila niko sehemu nyingine ya mbali tu, nilikuwa natania; asante sana kwa kusikia kilio changu na kunipa mwaliko hata kama kilikuwa cha utani tu. Mungu atusadie tutaonana siku moja. Ninategemea kutinga hapo Dar wakati wa kristmas huenda tukaonana.
 
Hivi mtu akionana na wewe si atakumbwa na ukuba. Labda misukule wenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…