ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
heee bestito kumbe ulishawahi kwenda east afrika pande za kenya hongera
umekwenda kwa wajaluo wenzako
umekwenda kwa wajaluo wenzako
Habari zenu ndugu wanaJF wa Kenya.
Ningependa kuwafahamisha kuwa niko Nairobi hadi next Monday.
Kwa wale watakaokuwa na nafasi na wangependa tuonane basi naomba wanaiandikie PM ili tuelekezane namna ya kukutana.
Nitafurahi sana kukutana na rafiki zangu Kabaridi, livefire, Ab-Titchaz, mfianchi, Dr. Job na wengine wote ambao tumewahi ku-interact hapa JF. Bila kumsahau mdau wa nguvu Nyani Ngabu bila shaka hauko mbali na NBI.:teeth::teeth::teeth:
Thanks.