Habari zenu ndugu wanaJF wa Kenya.
Ningependa kuwafahamisha kuwa niko Nairobi hadi next Monday.
Kwa wale watakaokuwa na nafasi na wangependa tuonane basi naomba wanaiandikie PM ili tuelekezane namna ya kukutana.
Nitafurahi sana kukutana na rafiki zangu
Kabaridi,
livefire,
Ab-Titchaz,
mfianchi,
Dr. Job na wengine wote ambao tumewahi ku-interact hapa JF. Bila kumsahau mdau wa nguvu
Nyani Ngabu bila shaka hauko mbali na NBI.:teeth::teeth::teeth:
Thanks.