mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
While sunshine.[emoji41][emoji41]Daydreaming?
Mkuu kuna thread nyingi zihusuyo hayo na nimecomment toka Jana na commentIngependeza ungeanzisha uzi kuwanusuru wahanga uchaguzi walio mahabusu, kuwasemea waliotangulizwa mbele ya haki , walio hospitalini , majumbani wakitibiwa, dhuluma,hujuma uchaguzi achana na kusifia mtu.
Kuna kipindi Paschal ulikuwa upo kwenye right track lakini saivi umepotea sana. Karudi kutengeneza njia kwa mzalendo wa kweli kupata uongozi ili tufaidi mema ya nchiNaunga mkono hoja
PZitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...
Wanabodi, Nimemsikiliza, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe akihojiwa kwenye kipindi cha Mikasi!, (japo kipindi hakikuwa na maswali magumu kivile!, ile hiki ndicho Watanzania wanachokihitaji, vipindi vya maswali magumu type ya "kiti moto" havihitajiki sana kwa audience yetu!. Kiukweli, tukubali...www.jamiiforums.com
Dr Slaa.Toka
Richmond
Epa
Escrow
Operations tokomeza
Katiba mpya...
Ni wazalendo sawa lakini hilo la kukataa marupu rupu ya zaidi ya 10Milion kwa mwezi na kuelekea bungeni hakuna anayethubutu kufanya hivyoDr Slaa.
Tundu Lissu.
Freeman Mbowe
Kukataa posho siyo kigezo pekee cha uzalendo.Ni wazalendo sawa lakini hilo la kukataa marupu rupu ya zaidi ya 10Milion kwa mwezi na kuelekea bungeni hakuna anayethubutu kufanya hivyo
Nimekuelewa mkuuKukataa posho siyo kigezo pekee cha uzalendo.
Mathalani Lissu posho hizo ndiyo zilimwezesha kutetea watu wengi mahakamani na nje ya mahakamani on pro bono bases..
Uzalendo wa Zitto kabwe nchi hii unaufananisha na nanii?Nimeona akiombewa Ubunge wa kuteuliwa kwenye thread nyingine hapa naona ukimuombea Urais 2025,
Tuko pamoja. Zitto ni lulu ndani ya banda la nguruwe, hathaminikiNaunga mkono hoja
PZitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...
Wanabodi, Nimemsikiliza, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe akihojiwa kwenye kipindi cha Mikasi!, (japo kipindi hakikuwa na maswali magumu kivile!, ile hiki ndicho Watanzania wanachokihitaji, vipindi vya maswali magumu type ya "kiti moto" havihitajiki sana kwa audience yetu!. Kiukweli, tukubali...www.jamiiforums.com
Wewe sema huyo ni mtu wako ila usiseme kuwa Uzalendo wake hauna kipimo hapa Nchini.Uzalendo wa zitto kabwe nchi hii unaufananisha na nanii?
Huko kwenda WB ndio uzalendo wenyewe maana majizi yalikopa hela kwa kisingizio cha elimu wakati humu ndani huwa inatumika "tunatoa billion 20 ya elimu bure kila mwezi, zile ni pesa zetu za ndani"Huyu aliyeenda kupeleka barua WB tuzuiwe kupewa mikopo nafuu,huyu mjinga huyu anatumikia tumbo lake tu.sasa aende tena basi.hawa wapinzani walijisahau sana unaendaje kupinga mikopo mahali huku ukirudi unataka upewe tena ruzuku na posho na serikali hiyo hiyo unayoichongea,aisee sasa ni wakati wake muafaka wa kuonyesha upinzani akiwa nje.
Apiganie uzalendo vizuri sio unafki nafki tu na kwa somo dogo tu kachero mbobezi kachukua makabrasha yote ACT kayamwaga lumumba SAA HIZI KIMYAA KAMALIZA KAZI.GOLI LA DK 89 HAMKUMUELEWA tu anamaanisha nini.